MAGARI MAWILI YAGONGANA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU
JESHI la Polisi Mkoani Mbeya leo, Mnamo tarehe 17.02.2020 majira ya saa 03:00 usiku wa kuamkia leo huko eneo la Ilomba, Kata ya Ilomba, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya – Tunduma, Gari lori tanker la mafuta lenye namba za usajili T.720 DHV na Tela T.520 CCY likiendeshwa na ABUBAKAR MOHAMED [32] Mkazi wa Dar es Salaam likitokea Dar es Salaam kuelekea nchini Zambia likiwa limebeba mafuta Petrol na Diesel liligongana uso kwa uso na Gari ndogo yenye namba za usajili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZClW06tmHgNYdh3ZIVRgT8uPIHSgRSHliL1UzlJdfF7q9F9uvaAuGk1dEHRzug3XWJfT3w8osD7bG*80Wz0Ewk0y/AJALI3.jpg)
AJALI: MAGARI MATATU YAGONGANA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-4s8OgFPQ_FE/XuTyVMkS-AI/AAAAAAAC7fA/Ps5acyguOTwqNHhxqcwTRG1QNErj5P2HACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
AJALI YA GARI KUGONGA TRENI NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4s8OgFPQ_FE/XuTyVMkS-AI/AAAAAAAC7fA/Ps5acyguOTwqNHhxqcwTRG1QNErj5P2HACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SFOvyWyl_kg/VbTaJqZUscI/AAAAAAAAEhE/hAYul7JcA-I/s72-c/11791692_966389366746420_3702662_n.jpg)
MAGARI MATATU YAGONGANA MJINI MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-SFOvyWyl_kg/VbTaJqZUscI/AAAAAAAAEhE/hAYul7JcA-I/s640/11791692_966389366746420_3702662_n.jpg)
Ajali mbaya imetokea leo jijini Mbeya baada ya magari matatu kugongana katika eneo la Mama John ambapo magari yaliyohusika katika ajali hiyo ni basi la Al Saedy linalofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda mkoani Dar es Salaam, Noah na gari lingine dogo (IT).
![](http://4.bp.blogspot.com/-6DH1Ghoc1SI/VbTaJgltBgI/AAAAAAAAEhA/eOGmFb48rsM/s640/11793364_966389406746416_1340343372_n.jpg)
Ajali hiyo imetokea leo asubuhi wakati dereva ambaye hajafahamika jina mara moja wa basi la Al Saedy lenye namba za usajili T T830 BQG lililokuwa limetokea kituo kikuu cha mabasi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-elmlo1iK0Gs/VSZgYZMBwxI/AAAAAAAHPxQ/FxK2BTZ8Xz0/s72-c/IMG-20150409-WA0024.jpg)
BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-elmlo1iK0Gs/VSZgYZMBwxI/AAAAAAAHPxQ/FxK2BTZ8Xz0/s1600/IMG-20150409-WA0024.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jhhmIFp9GXc/VSZgkqyZGZI/AAAAAAAHPxg/NRZg2K9OCi0/s1600/IMG-20150409-WA0012.jpg)
11 years ago
GPLMAGARI MAWILI YAWAKA MOTO IRINGA
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LAMSHIKILIA DEREVA WA LORI MALI YA TEXAS HARDWARE KWA KUSABABISHA AJALI ILIYOPELEKEA VIFO VYA WATU 8 NA MAJERUHI 5 WILAYA YA MAGU
TAREHE 10.06.2020 MAJIRA YA 19:45HRS KATIKA BARABARA YA MWANZA – MUSOMA, ENEO LA IHAYABUYAGA, KATA YA BUKANDWE, TARAFA YA SANJO, WILAYA YA MAGU – MWANZA, DEREVA AITWAE BONIPHACE CLIPHORD @TUJU MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA MWANZA-NERA AKIENDESHA GARI NA T.322 DCB TRAILER T.1351 DCA AINA YA SCANIA LIKITOKEA WILAYA YA BUSEGA KWENDA MWANZA MALI YA KAMPUNI YA TEXAS HARDWARE, ILIGONGA TELA YA TRAKTA KWA NYUMA AMBAYO ILIKUWA HAINA TAA ZA NYUMA YENYE NAMBA ZA USAJILI T.952 DGW, BAADA YA KULIGONGA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRdzxyNr*RnaIc-LAKGV-RNQPIGV*1RWyjgE68I*pD3sNYcT5vLjxl*ay68cGxQEaXxIqdJbBF0E-nB89Nc2GAHM/1.jpg)
SPIKA WA BUNGE APOKEA MAGARI MAWILI YA KUBEBEA WAGONJWA
9 years ago
StarTV23 Nov
Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga
Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.
Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.
Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10