Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SPIKA WA BUNGE APOKEA MAGARI MAWILI YA KUBEBEA WAGONJWA

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuzindua matumizi ya magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyonunulia na Ofisi ya Bunge. Pembeni ni Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Bunge na Katibu wa Bunge mbele ya mojawapo ya magari hayo ya kubebea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

UNICEF YAKABIDHI MAGARI KUMI( 10) YA KUBEBEA WAGONJWA MKOANI MBEYA

Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Unicef Dkt Jama Gulaid akitoa hotuba katika sherehe ya makabidhiano ya magari ya kubebea  wagonjwa Mkoa wa Mbeya15 Octobar  2015Mratibu wa Huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto Ndugu Prisca Butuyuyu akitoa taarifa ya huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto katika Mkoa wa Mbeya kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya magari ya kubebea wagonjwa 15 Octobar 2015.Mwakilishi UNICEF Dkt Jama Gulaid kulia akimkabidhi Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Ndugu Kastro Msigala...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 10 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa tatu kulia ni Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Apokea magari mawili kwa ajili ya mafunzo ya udereva

 Mkurugenzi wa Mradi ya Usalama Barabarani wa Shirika la Transaid la Nchini Uingereza, Mr. Neil Rettie (mwenye tai ya blue) akimkabidhi funguo za gari aina ya Iveco kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya mafunzo ya Udereva yanayotolewa na Chuo Cha Taifa Cha Usafirhsaji (NIT), Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya chuo hicho leo Asubuhi.  Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Liftambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la Transaid la nchini Uingereza, hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika leo asubuhi katika viwanja vya NIT. Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Lift ambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na Kampuni ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awanunulia wananchi wake gari la kubebea wagonjwa

DSC07824

Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wapiga kura wake na wananchi wa kata ya Mtoa tarafa ya Shelui ambapo pamoja na mambo mengine, alihimiza ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji.

DSC07878

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Kebwe Stephen Kebwe (MB) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mgongo tarafa ya Shelui jimbo la Iramba magharibi ambapo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBEA MAKASHA CHINI YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha likishushwa katika Bandari ya Dar es Salaam, leo asubuhi. Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), leo limepokea mabehewa 50 ya kubebea makasha ambapo mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN). Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk . Shaaban Mwinjaka(mwenye tai ya blue), akiangalia behewa moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha yalishuhushuwa katika bandari ya Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

MAGARI MAWILI YAWAKA MOTO IRINGA

Wananchi Iringa mjini wakilitazama daladala lililowaka moto wakati likiwa kwa mafundiwa kuchomelea leo eneo la uwanja wa samora.…

 

5 years ago

Michuzi

MAGARI MAWILI YAGONGANA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU



 JESHI la Polisi Mkoani Mbeya leo, Mnamo tarehe 17.02.2020 majira ya saa 03:00 usiku wa kuamkia leo huko eneo la Ilomba, Kata ya Ilomba, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya – Tunduma, Gari lori tanker la mafuta lenye namba za usajili T.720 DHV na Tela T.520 CCY likiendeshwa na ABUBAKAR MOHAMED [32] Mkazi wa Dar es Salaam likitokea Dar es Salaam kuelekea nchini Zambia likiwa limebeba mafuta Petrol na Diesel liligongana uso kwa uso na Gari ndogo yenye namba za usajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani