Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari yanayojiendesha yahusika na ajali

Wiki hii tumegundua kwamba magari manne kati ya 48 yanayojiendesha bila dereva katika barabara za Carlifonia yamehusika katika ajali za barabarani katika kipindi cha miezi minane iliopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Google kuunda magari yanayojiendesha

Kampuni ya teknolojia ya Google imesema kuwa itaanza kuunda magari yanayojiendehsa yenyewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Magari yanayojiendesha sasa yaja

Magari yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa.

 

11 years ago

GPL

GOOGLE WAJA NA KITU KIPYA, WATENGENEZA MAGARI YANAYOJIENDESHA YENYEWE

Gari linalotembea bila kuwa na dereva kutoka kampuni ya Google. Kampuni ya Teknologia ya Google imetengeneza magari yanayojiendesha yenyewe.
Kampuni hiyo ambayo imejijengea sifa kwa njia ya kipekee ya utendaji kazi wake katika sekta ya kiteknolojia imekuwa ikikarabati magari ya kawaida. Lina uwezo wa kumpeleka abiria bila kuwa na dereva. Gari hilo la kiteknolojia halitakuwa na usukani.
Google imesambaza picha ya gari...

 

11 years ago

GPL

AJALI: MAGARI MATATU YAGONGANA

Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK, Canter lenye namba za usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali za magari zaua Tanga, Singida

 Watu watano wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizotokea Mikoa ya Singida na Tanga.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ajali ya magari manne yaua sita Dar

NA MWANDISHI WETU

WATU sita wamefariki dunia mjini Dar es Salaam na wengine 12 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari manne.
Ajali hiyo ambayo ilitokea saa 7:30 mchana, ilihusisha daladala mbili, lori na gari dogo aina ya Land Rover Discover ambapo ilitokea katika eneo la Lugalo njiapanda.
Mashuhuda wa ajali hiyo walisema, ajali hiyo ilisababishwa na daladala lililokuwa likitoka Ubungo kwenda Tegeta lenye namba za usajili T 441 CKT ambalo lilihama njia na kupanda tuta kisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali za magari bado tishio-DCI Mngulu

>Jeshi la Polisi nchini limesema ajali za barabarani bado ni tishio kwa maisha ya watu na kwamba kati ya Januari na  Novemba mwaka huu watu 3,749 walikufa kwa ajali ikilinganishwa na watu 3,741 waliokufa mwaka 2012.

 

11 years ago

Habarileo

TBS: Magari mitumba, tairi chakavu chanzo cha ajali

UNUNUZI wa magari nje ya nchi yaliyokaa muda mrefu kisha kuyatumia nchini, unadaiwa kuchangia ajali nyingi barabarani, kutokana na baadhi tairi kuisha muda wa matumizi.

 

11 years ago

Michuzi

AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.

Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo  Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani