Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA MOTO KICHANGA CHAOKOA FAMILIA!

Na Gabriel Ng’osha/Risasi Mchanganyiko
KICHANGA kinachokadiriwa kuwa na umri wa miezi nane, wiki iliyopita kiliiokoa familia yake kuteketea kwa moto, baada ya kuamka usiku na kulilia kunyonya, kitendo kilichomshtua mama yake aliyebaini nyumba yao ilikuwa ikiungua, huko Kibamba Lungwe jijini Dar es Salaam. Sehemu ya nyumba iliyoungua. Akisimulia tukio hilo, mama wa kichanga hicho, Asha Mohamed, alisema alishtuka baada...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA ZA WALIOPATWA NA AJALI YA MOTO

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS





TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Said Meck Sadik kufuatia vifo vya watu tisa wa familia moja ya Bwana Masoud Matal vilivyotokea alfajiri ya tarehe 27 Agosti, 2015 kwa ajali ya moto.


Wanafamilia hao wakiwemo watoto watano walipoteza maisha baada ya nyumba yao iliyoko...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AITEMBELEA NA KUIFARIJI FAMILIA ILIYOPOTEZA WATU TISA KATIKA AJALI YA MOTO BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimsalimia na kumpa pole Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto iliyotokea Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimsalimia na mmoja wa wanafamilia ya Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto iliyotokea...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania bloggers network (TBN) yatoa rambirambi kwa mwanahabari wa familia ya watu sita waliofariki kwa ajali ya moto

 Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa poe na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale. TBN ilishiriki...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) YATOA RAMBIRAMBI KWA MWANAHABARI WA FAMILIA YA WATU SITA WALIOFARIKI KWA AJALI YA MOTO

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa pole na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

GPL

KICHANGA CHANUSURIKA KUFA KWA AJALI YA BODABODA DAR

Sehemu ya uso alipoumia mtoto huyo.…

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani