Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA PIKIPIKI, TITO ILIKUWA AFE

AJALI mbaya aliyoipata msanii wa filamu, Tito Zimbwe hivi karibuni ilikuwa imfanye apoteze maisha yake kutokana na namna ilivyotokea. Akizungumza na Ijumaa, rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema, ajali aliyoipita Tito kupona kwake ilikuwa ni Mungu tu kwani waliomuokoa walisema ameponea kwenye tundu la sindano. “Aisee ilikuwa ni ajali mbaya sana, ilikuwa mida ya saa tano usiku, alikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAKTARI: MBONI MASIMBA ILIKUWA AFE

Imelda mtema
Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa ya TBC1, Mboni Masimba, amejikuta akiangua kilio kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, alipotembelea wodi ya wazazi na kusimulia jinsi ambavyo daktari alimweleza kuwa ilikuwa kiduchu tu afe wakati wa kujifungua hivi karibuni. Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show,  Mboni Masimba akihojiwa katika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ilikuwa ajali au ndege ilidunguliwa?

Ndege ya Malaysia iliyoanguka Alhamsi ilikuwa imewabeba abiria 298.Inadaiwa kudunguliwa na wapiganaji wa Ukraine

 

11 years ago

CloudsFM

AJALI: GARI LAIGONGA PIKIPIKI

Mwendesha pikipiki na abiria wake (majina hayakupatikana) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze-Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba za usajili T818 BNS leo mchana.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali za pikipiki zaua 5,100

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perreira Ame SilimaJUMLA ya ajali 32,404 za pikipiki maarufu kama bodaboda zimetokea kati ya mwaka 2007 – 2014 na kusababisha vifo vya watu 5,100, Bunge limeelezwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video)

Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza nazo. Hii video aliipost Mike Tyson kwenye ukurasa wake Instagram ambapo kuna sauti ya mtoto wa kike inaonekana kama anamuonya hivi kwamba ataanguka, lakini Mike […]

The post Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

MWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO

Picha za tukio zima la kuteleza kwa pikipiki hiyo na kuanguka hadi kusaidiwa na wasamaria kuiweka sawa. MWENDESHA pikipiki ambaye hakujulikana jina, amenusurika katika ajali iliyotokea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kuteleza na kuacha njia na kuanguka.…

 

11 years ago

Michuzi

AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.

Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo  Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA NYIDA SHINYANGA (CCM) AMEFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI

SHINYANGA, Tanzania
DIWANI wa Kata ya Nyida wilayani Shinyanga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Shindiko Masele(40) amekufa papo hapo baada ya kupinduka na pikipiki aliyokuwa akiendesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Sosteness Ngassa alisema diwani huyo alipata ajali hiyo jumamosi saa 2.30 usiku wakati alipojaribu kumkwepa mwendesha baiskeli na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani