Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI: MBONI MASIMBA ILIKUWA AFE

Imelda mtema
Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa ya TBC1, Mboni Masimba, amejikuta akiangua kilio kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, alipotembelea wodi ya wazazi na kusimulia jinsi ambavyo daktari alimweleza kuwa ilikuwa kiduchu tu afe wakati wa kujifungua hivi karibuni. Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show,  Mboni Masimba akihojiwa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Mboni Masimba: These have been two great years

>It has been two years since ‘The Mboni Show’ first premiered on East Africa TV and since then it has continued to woo more viewers into its fan base.

 

10 years ago

GPL

MIMBA YAMPA NEEMA MBONI MASIMBA

NA Mwandishi wetu UJAUZITO alionao Mkurugenzi wa The Mboni  Show, Mboni Masimba umeonekana kumpa neema kwani amepata bahati ya kupata udhamini mkubwa wa kipindi chake kutoka kwa mfuko wa hifadhi ya jamii (PSPF) pamoja na kuhamishia kipindi chake TBC 1 ambacho kitarushwa rasmi kuanzia tarehe 2 mwaka huu. Mkurugenzi wa The Mboni  Show, Mboni Masimba. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Habari...

 

10 years ago

GPL

MBUZI AVISHWA KANGA, APELEKEWA MBONI MASIMBA

HAMIDA HASSAN KATIKA hali ya kustaajabisha, Mtangazaji wa Kipindi cha The Mboni Show kinachoruka katika Runinga ya TBC1, Mboni Masimba alipigwa na butwaa baada ya kuzawadiwa mbuzi aliyefungwa kanga kwenye sherehe ya Maulid.Tukio hilo la aina yake lilijiri juzikati nyumbani kwa mtangazaji huyo Masaki jijini Dar ambapo Mboni alipokuwa akimfanyia sherehe hiyo mwanaye, Prince Milan aliyekuwa akitimiza siku arobaini tangu kuzaliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngoma ya Profesa Jay ‘inayowaliza’ Lady Jaydee, Mboni Masimba

MOJA ya vibao gumzo katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini kwa sasa ni ‘Kipi Sijasikia’, cha mkali wa Hip Hop Afrika Mashariki na Kati, Joseph Haule ‘Profesa Jay’...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA PIKIPIKI, TITO ILIKUWA AFE

AJALI mbaya aliyoipata msanii wa filamu, Tito Zimbwe hivi karibuni ilikuwa imfanye apoteze maisha yake kutokana na namna ilivyotokea. Akizungumza na Ijumaa, rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema, ajali aliyoipita Tito kupona kwake ilikuwa ni Mungu tu kwani waliomuokoa walisema ameponea kwenye tundu la sindano. “Aisee ilikuwa ni ajali mbaya sana, ilikuwa mida ya saa tano usiku, alikuwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mafufu: Hata Afe Ray Sitamzika

HATARI! Mkongwe wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu ameonesha hisia kali baada ya kutoa kiapo kuwa hatahudhuria msiba wa msanii yeyote, hata afe Vincent Kigosi ‘Ray’ kufuatia wasanii kutompa ushirikiano wakati wa kifo na mazishi ya marehemu baba yake mzazi, Mchungaji Mafufu.

Akizungumza na gazeti hili kwa uchungu, Mafufu alisema hivi karibuni alifiwa na baba yake mzazi lakini aliumizwa sana baada ya kupigiwa simu ya pole na wasanii wawili tu, wakati yeye muda wote alijitoa kwenye misiba ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Makinda ulitaka afe nani?

KATIKA Biblia takatifu, kitabu cha Mhubiri 3:1-2 kinasema kila jambo lina majira yake, wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa. Nimelazimika kulijadili andiko...

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU ATAMANI MWANAYE AFE TU!

Imelda Mtema
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana! Lulu akiwa hoi nyumbani. YOTE HAYA KISA MITANDAO
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani