Ajali yaua 13, wengi wa idara ya elimu
Watu 13 akiwamo mke wa Jaji, Profesa John Luhangisa, Retisia Luhangisa ambaye ni Ofisa Elimu wa Taaluma wa Halmashauri ya Meru mkoani hapa, wamefariki duniani baada ya gari la abiria aina ya Hiace walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Idara ya Elimu Kyela lawamani
WANANCHI kutoka kata mbalimbali wilayani Kyela, Mbeya wameilalamikia Idara ya Elimu iliyopo chini ya halmashauri ya wilaya hiyo kwa kutowaunga mkono katika ujenzi wa shule za msingi. Kauli hiyo ilitolewa...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Mabadiliko ya idara ya ukaguzi yatainusuru elimu?
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Ajali yaua 21
WATU 21 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mkupuka, Kibiti, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Watu...
10 years ago
Habarileo16 Jun
Ajali yaua 23
WATU 23 wamekufa katika ajali iliyohusisha basi na lori mjini Mafinga, Iringa huku wengine 34 hali zao zikiwa mbaya.
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Ajali yaua 19
![Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/ajali-dodoma.jpg)
Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma
Debora Sanja, Dodoma na Fadhili Athumani, Mwanga
WATU 19 wamepoteza maisha na wengine 64 wamejeruhiwa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro.
Habari kutoka mkoani Dodoma zinasema watu 17 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.
Ajali hiyo ilitokea jana saa 2 asubuhi, katika eneo la Pandambili, lililoko Barabara ya Dodoma-Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari...
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Ajali yaua wanawake 12
WANAWAKE 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine saba kujeruhiwa wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka msibani kugongana na magari mengine mawili. Kamanda wa Polisi wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK782kufwrWPoc929XkxSjsvwRNnSOgkO2nGBRan*GhX7O*BpzkRzjO6JtEXNyTbQp7h2GKRVY4aqq1EPipdJ2Iv/BREAKINGNEWS.gif)
AJALI YAUA 11 TANGA
10 years ago
VijimamboAJALI YAUA 12 TANGA
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya basi aina ya Costal lenye namba za usajili T410 BJD lililokuwa likifanya safari zake kati ya Tanga na Lushoto likiwa limepinduka baada ya kugongana na Scania lenye namba namba T645 ABJ katika kijiji cha Mkanyageni wilayani Muheza. (picha: Elizabeth Kilindi via Habari Mseto blog)
WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 19 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Toyota Costa inayosafiri kati ya Tanga na Lushoto...
10 years ago
Habarileo20 Feb
Ajali yaua 2 yajeruhi 45
WATU wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na roli katika kijiji cha Vikonje wilayani Chamwino mkoani hapa.