Mabadiliko ya idara ya ukaguzi yatainusuru elimu?
Kamati ya Huduma za Jamii ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imependekeza pamoja na mambo mengine, Idara ya Ukaguzi wa Shule, iwe wakala kama njia ya kuimarisha ukaguzi shuleni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Je ukaguzi wa shule unaboresha elimu TZ?
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Idara ya Elimu Kyela lawamani
WANANCHI kutoka kata mbalimbali wilayani Kyela, Mbeya wameilalamikia Idara ya Elimu iliyopo chini ya halmashauri ya wilaya hiyo kwa kutowaunga mkono katika ujenzi wa shule za msingi. Kauli hiyo ilitolewa...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ajali yaua 13, wengi wa idara ya elimu
10 years ago
VijimamboOFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mabadiliko sekta ya elimu
SERIKALI imesema kuwa wanafunzi 16,800 wakiwemo watahiniwa wa kujitegemea 10, wenye sifa lakini wamekosa nafasi za kujiunga kidato cha tano, sasa wataanzishiwa utaratibu wa kusoma stashahada ya ualimu pamoja na...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Tunahitaji mabadiliko kwenye elimu
MIONGONI mwa habari zilizopo kwenye gazeti hili ni kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, kutaka elimu ipewe kipaumbele zaidi Kwa mujibu wa Sumaye, ubora wa elimu hauwezi kupatikana kwa...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Elimu yetu imepitia mabadiliko gani?
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Rais ajaye azingatie mabadiliko katika elimu
WAKATI kukiwa na hamu ya kujua nani atakuwa rais wa awamu ya tano atakayepokea kijiti cha Rais Jakaya Kikwete, bado sekta ya elimu ina changamoto zinazohitaji utatuzi wa haraka.
Moja ya matatizo hayo ni kubadilishwa mitaala ya elimu mara kwa mara kila anapoingia waziri mpya wa elimu, hawazingatii mazingira ya wanafunzi namna watakavyoipokea wanachojali ni kutumikia siasa na matakwa binafsi.
Si wakufunzi tu bali hata wanafunzi hupoteza mwelekeo na mpangilio wa masomo, hivyo kufanya...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Prof Kahigi: Serikali ifanyie mabadiliko sekta ya elimu
MBUNGE wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi (CHADEMA), ameitaka serikali kuifanyia mabadiliko sekta ya elimu kwa kuzingatia hali ya utandawazi iliyopo, ili kuepukana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza. Profesa Kahigi alitoa ushauri...