Ajinyonga kupinga dhuluma, mama wanawe wauawa
MKAZI wa Mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, amekufa baada ya kujinyonga kwa kanga, pembeni ya mlango wa chumba chake, nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Kaimu Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mussa Marambo alimtaja marehemu huyo kuwa ni Patrice Shirima (52) maarufu kwa jina la Manywele.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Jun
Mama asoma na wanawe
“TANGU nilipozaliwa mkoani Morogoro mwaka 1990, sikupata nafasi ya kujiunga na masomo maana familia yetu ilikuwa ya kuhama hama na baba hakuonesha nia ya kunisomesha kabisa.”
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Mama awaua wanawe 3 walemavu
10 years ago
Habarileo06 Jun
Mama asoma Shule ya Msingi na wanawe watatu
“TANGU nilipozaliwa mkoani Morogoro mwaka 1990, sikupata nafasi ya kujiunga na masomo maana familia yetu ilikuwa ya kuhama hama na baba hakuonesha nia ya kunisomesha kabisa.”
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-8347p9hGQ7I/VnQNHzEkOPI/AAAAAAAAEOw/F_QYyXPjN8Q/s72-c/mama%2Bartwork.png)
NEW MUSIC: YAMOTO BAND "MKUBWA NA WANAWE" ft. ZENA - MAMA (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-8347p9hGQ7I/VnQNHzEkOPI/AAAAAAAAEOw/F_QYyXPjN8Q/s600/mama%2Bartwork.png)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Mama na mwanawe wauawa kwa mapanga
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Mama na mtoto wake wauawa kikatili
![Arusha Town](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Arusha-Town.jpg)
Arusha Town
Na Eliya Mbonea, Arusha
MKAZI wa eneo la Baraa Ngulelo, jijini Arusha, Lightness Thomas na mtoto wake wa kike, Joyna Charles (9), wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao huku vichwa vyao vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali.
Miili ya watu hao iligundulika ndani ya nyumba yao usiku wa Julai 27, mwaka huu, kitandani na kufunikwa blanketi, huku ikiwa imeharibika vibaya.
Akizungumza na MTANZANIA, ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake litajwe kwenye gazeti, alidai watu...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
US kuzuia dhuluma za ngono jeshini
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Kulipwa bila kazi ni dhuluma na ufisadi