Ajinyonga kwa madai ya kuishiwa nguvu
MKAZI wa Kigogo, Hamisi Kibangu (42) amekufa kwa kujinyonga kwa madai ya kuishiwa nguvu. Tukio hilo lilitokea Januari 24 mwaka huu saa 3:00 asubuhi huko maeneo ya Kigogo Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSl5veq9gV9od5ZDjoeR31QFBSsuH9e4eXJwKrRxPW9f53zTmK4PQ98IBlSRvYI5i1ylTafD9KZerQy5GMrFUPFZ/10554208_706570772747607_1588459783_n.jpg?width=650)
IDRISS WA BBA: NAANZA KUISHIWA!
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
11 years ago
Michuzi30 Apr
NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA
KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...
11 years ago
Michuzi30 Apr
AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA
11 years ago
Mwananchi20 May
Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Ajinyonga kwa kamba za viatu
WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la mmoja kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu alizokuwa amezifunga kwenye tawi la mti. Kamanda wa Polisi Mkoa...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Mchina ajinyonga kwa kuboronga