Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akanusha walimu kukamatwa na mitihani ya wizi

SERIKALI wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga imekanusha taarifa zilizotolewa katika baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari nchini, kuwa walimu wawili wa Shule ya Sekondari ya Anderleck Ridge iliyopo hapa, wanashikiliwa na Polisi kwa kosa la kupatikana na mitihani ya wizi ya kidato cha nne kinyume cha sheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

NECTA yafanikiwa kudhibiti udanganyifu na wizi wa mitihani ya taifa nchini

1

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Baraza hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika usajili wa watahimiwa na uchakataji wa matokeo ya Mitihani ya Taifa. Kulia ni Afisa Habari wa NECTA John Nchimbi.

2

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar s salaam...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAO VITENDO VYA KIKATILI

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Imelda Kamugisha(kulia)alipokuwa akipokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili.Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Imelda Kamugisha akielezea lengo la msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wakati msafar huo ulipowasili mkoani Njombe.
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAYO VITENDO VYA KIKATILI

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kukamatwa kwa walimu mkoani Njombe watakaobainika kuwafanyia vitendo vya kikatiki wanafunzi ili kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelea kutoka nchini.

Hayo yamebainika leo Makambako mkoani Njombe wakati msafara wa kijinsia kutokomeza ukatili ulipofika mkoani humo kwa ajili ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Mhe. Ruth amesema kuwa Serikali haipingi adhabu ya viboko ila sio kutoa adhabu ya  viboko vya kupitiliza na...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wafanya mitihani Syria

Wanafunzi nchini Syria wameanza mitihani yao ya Taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitihani mitano ya JK katiba mpya

WAKATI matumaini ya Tanzania kuandika katiba mpya baada ya miaka 50 ya uhuru, yakiwa yamefifia kutokana na ukigeugeu wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mitihani mitano inamkabili Rais Jakaya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Udanganyifu wa mitihani ni kawaida India

Udanganyifu wa mtihani umekuwa jambo la kawaida katika Jimbo la India la Bihar lakini picha

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani