Akata rufaa kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kumfungia mwaka mmoja CCM
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amekata rufaa Kamati Kuu ya CCM kupinga adhabu ya onyo kali aliyopewa na chama kutokana na madai ya kuanza kampeni za urais mapema kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Bility akata rufaa uamuzi wa kumzuia kuwania Fifa
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko
10 years ago
Habarileo27 Feb
Chenge akwama, akata rufaa
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana.
9 years ago
Habarileo30 Aug
Mgombea Chadema akata rufaa
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa jimbo la uchaguzi la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bartholomew Msambichaka, amekata rufaa Tume ya Uchaguzi (NEC) kupinga pingamizi alilowekewa akidaiwa kutorudisha fomu namba 10.
10 years ago
Mtanzania27 Feb
Chenge akata rufaa Mahakama Kuu
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud
BARAZA la Maadili la Utumishi wa Umma jana lilikwama kuendelea na mahojiano na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM).
Baraza hilo lilishindwa kuendelea na kazi yake hiyo baada ya Chenge kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa Baraza hilo kuendelea kujadili tuhuma zinazomkabili.
bilioni 1.6 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Tanzania Ltd, James Rugemalira, kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kabla ya...
10 years ago
GPLCHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Pistorius:Kiongozi wa mashitaka akata rufaa
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga
10 years ago
CloudsFM26 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...