Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AL SHABAAB: WANAFUNZI WAANDAMANA KAMPALA



Wanafunzi waandamana Kampala kupinga ugaidi
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wamefanya maandamano ya mshikamano na wenzao waliofikiwa na mkasa katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hivi majuzi.Wanafunzi hawa wamepiga kwata hadi ubalozi wa Kenya nchini Uganda na kutoa rambi rambi zao.
Wanafunzi hao wa wa chuo kikuu cha Makerere mjini Kampala waliandamana wakisindikizwa na bendi moja huku wakipewa ulinzi na polisi kuelekea ubalozi wa Kenya.
Shambulio dhidi ya Chuo cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab:Wanafunzi waandamana Kampala

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere waliandamana mjini Kampala kuonesha umoja na wenzao wakenya waliuawa na magaidi huko Garissa

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana dhidi ya Al-shabaab Garissa

Wananchi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamefanya maandamano kupinga vitendo vya kundi la Al Shabaab,

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma

KIUJonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi DIT waandamana

WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) leo wameandamana kwenda Wizara ya Sayansi na Teknolojia wakidai hawajaridhishwa na uamuzi wa uongozi wa chuo kuwazuia wanafunzi 684 kufanya mtihani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Stemuco waandamana

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Stella Maris (STEMUCO) mkoani Mtwara, wameandamana juzi wakidai kutolipwa posho za malazi na chakula na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa miezi mitatu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi waandamana Khartoum

Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu ameuwawa katika maandamano yaliyofanyika katika mji mkuu wa Sudan Khartoum

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi waandamana Chile

Kumeshudiwa ghasia na fujo katika mji mkuu wa Chile, Santiago, kati ya polisi wa kupambana na ghasia na wanafunzi ambao wanataka mabadiliko makubwa yafanyiwe sekta ya elimu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi waandamana Malawi

Wanafunzi wa Shule ya msingi wameandamana nchini Malawi wakitaka Serikali kulipa walimu wao mishahara

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wa chuo waandamana DR Congo

Wanafunzi wa chuo kikuu kimoja nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo leo wameandamana Kinshasa kulalamikia kuongezwa kwa ada ya masomo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani