Al Shabaab:Wanafunzi waandamana Kampala
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere waliandamana mjini Kampala kuonesha umoja na wenzao wakenya waliuawa na magaidi huko Garissa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Apr
AL SHABAAB: WANAFUNZI WAANDAMANA KAMPALA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/10/150410145522_wanafunzi_waandamana_kampala_kupinga_ugaidi_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wamefanya maandamano ya mshikamano na wenzao waliofikiwa na mkasa katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hivi majuzi.Wanafunzi hawa wamepiga kwata hadi ubalozi wa Kenya nchini Uganda na kutoa rambi rambi zao.
Wanafunzi hao wa wa chuo kikuu cha Makerere mjini Kampala waliandamana wakisindikizwa na bendi moja huku wakipewa ulinzi na polisi kuelekea ubalozi wa Kenya.
Shambulio dhidi ya Chuo cha...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Waandamana dhidi ya Al-shabaab Garissa
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu Kampala waendelea kugoma
Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
WANAFUNZI wa Kitivo cha Sayansi ya Afya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) wameendelea kugoma kwa kufunga lango kuu la chuo hicho kuuzuia uongozi kuingia au kutoka hadi malalamiko yao yatakapopatiwa ufumbuzi.
Kwa mujibu wa wanafunzi hao, tangu waanze mgomo Aprili 10 mwaka huu, uongozi wa chuo hicho haujataka kuwasikiliza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wanafunzi wa chuo hicho waliainisha madai takriban saba wakidai ni ya muda mrefu.
“Tumegoma kwa sababu...
11 years ago
Habarileo04 Jun
Wanafunzi DIT waandamana
WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) leo wameandamana kwenda Wizara ya Sayansi na Teknolojia wakidai hawajaridhishwa na uamuzi wa uongozi wa chuo kuwazuia wanafunzi 684 kufanya mtihani.
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Wanafunzi Stemuco waandamana
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Stella Maris (STEMUCO) mkoani Mtwara, wameandamana juzi wakidai kutolipwa posho za malazi na chakula na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa miezi mitatu...
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Wanafunzi waandamana Khartoum
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Wanafunzi waandamana Chile
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Wanafunzi waandamana Malawi
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Wanafunzi wa chuo waandamana DR Congo