Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALBERT MANGWEHA KUKUMBUKWA KWA BONGE LA SHOW DAR LIVE LEO

Baada ya mwaka mmoja tangu kifo cha staa wa Bongp Fleva, Albert Mangweha 'Ngwair', Juni 8, 2014 kutakuwa na bonge la shoo ndani ya Dar Live kwa ajili ya kumbukumbu za msanii huyo aliyefariki akiwa nchini Afrika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

11 years ago

GPL

NGWEA KUENZIWA NA BONGE LA SHOO DAR LIVE SIKU YA KESHO

Marehemu Albert Mangweha. BAADA ya kusubiriwa kwa hamu, kesho tarehe 8, Juni ndiyo siku ambayo mastaa kibao watadondoka katika jukwaa la Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar kupiga shoo kali ya kumuenzi legendary wa muziki wa Hip Hop Bongo, Albert Mangweha. Mratibu wa shoo hiyo, Luqman Maloto amesema listi itakayoshuka jukwaani itaongozwa na TID, Chid Benz, Mchizi Mox, Nako 2 Nako, Geez Mabovu, Dark Master, M2 The P, Josline,...

 

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF AANGUSHA BONGE LA BURDANI, ATANGAZA NIA DAR LIVE

...Akitangaza nia ya kugombea ubunge. Mzee Yusuf akiwaonesha mashabiki wake tuzo za Kili alizozoa usiku huo. ...Akiwaangushia mashabiki wake burudani.…

 

10 years ago

Michuzi

ALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na jinsi anavyojiandaa kuwapagawisha mashabiki wake katika Tamasha la Mwana Dar Live lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam siku ya Pasaka.Wengine katika picha kushoto Msanii wa nyimbo za mchiriku Sueleman Jabiri”Msaga Sumu” na Kiongozi wa kikundi cha Warriors Damian Darada(kulia). Meneja Uhusiano wa...

 

11 years ago

GPL

NGWEA KUKUMBUKWA LEO

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ leo anatarajiwa kufanyiwa shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya familia ya Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo Mei 28, nyumbani kwao Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu tangu afariki dunia. Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Ngwea alifariki dunia Mei 28, mwaka jana...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE CONCERT: ALI KIBA, MSAGA SUMU, ISHA ‘LIVE’ NA WAANDISHI LEO

MFALME wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Mfalme wa Vigodoro, Msaga Sumu pamoja na Malkia wa Masauti, Isha Mashauzi wanatarajiwa kukutana na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza-Africasana, jijini Dar kabla ya kufanyika kwa shoo ya Mwana Dar Live Aprili 5, mwaka huu (Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba. Akizungumza na Showbiz,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani