Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Choki kupunguza urefu wa nyimbo za bendi yake, adai ni kuendana na mahitaji ya soko

Kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amesema kuanzia album yake ijayo, nyimbo za bendi hiyo zitakuwa fupi. Akiongea na TBC One, Choki amesema wamebaini kuwa soko la sasa halihitaji nyimbo ndefu zinazoonesha kuwachosha watu. Nyimbo nyingi za dance huwa na dakika kuanzia 8 hadi 12 au na zaidi wakati nyimbo za Bongo Flava […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ali Choki atinga ukumbini na Ambulance kuzindua albamu yake ya "Mtenda akitendewa!"

Ilikuwa ni siku ya aina yake kwa bendi ya Extra Bongo "wazee wa kizigo" walipokuwa wakizindua albamu yao ya "Mtenda akitendewa" na kuacha gumzo kwa mamia ya mashabiki waliojitokeza katika ukumbio wa Dar Live kitongojini Mbagala jijini Dar es salaam wikiendi hii. Asante kwa udhamini wa Vodacom kufanikisha Tamasha hilo.   Palikuwa hapatoshi katika ukumbi huo wa taifa wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo bendi kaadhaa za muziki wa dansi na wasanii wa bongo flava...

 

10 years ago

Mwananchi

Choki: Kuendesha bendi ni pasua kichwa

Wiki hii tasnia ya muziki wa dansi imeshuhudia msanii mkongwe katika dansi ya kizazi kipya nchini Komredi Ally Choki mwenye majina mengi yakiwamo ‘mzee wa farasi’ na ‘mzee wa kijiko’, akitangazwa kurudi katika bendi yake ya zamani, The African Stars band `Twanga Pepeta’.

 

10 years ago

GPL

ALI CHOKI AFIWA NA MKEWE

Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki akipozi ndani ya Global TV Online. MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amepata pigo la kuondokewa na mke wake, Shuea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu Usiku wa kuamkia leo. Akizungumza kwa masikitiko Ali Choki alisema mke wake ameugua kwa muda wa miezi tisa akiwa anasumbuliwa na mguu ambapo alitibiwa nchini India ikashindikana akarudishwa nyumbani...

 

10 years ago

Vijimambo

ALI CHOKI APAGAWISHA JAPAN

Mwimbaji mahili toka Tanzania Ali Choki akitoa burudani siku ya Jumamosi March 21, 2015 nchini Japan alipokua ameenda kwa ajili ya kukata kiu mashabiki wake huko. Katika safari hiyo Choki aliambatana na mcheza show super Nyamwela.Dada kutoka Peru akiitikia wimbo wa Ali Choki siku ya Jumamosi March 21, 2014 siku mwimbaji huyo mahili toka Bongo alipofanya vitu vyake nchini Japan.Choki akilishambulia Jukwaa.Mcheza show Super Nyamwela akilishambulia jukwaa.Wadau kutoka Kenya wakihudhuria onesho...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Ali Choki Ft Cassim Mganga – Caro

chokiiiiiiiiiii

Msanii mkongwe wa mziki wa dansi hapa bongo Ali Choki ameachia wimbo mpya unaitwa “Caro”, Amemshirikisha Cassim Mganga. Producer Aby Dady.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

UNDANI KIFO CHA MKE WA ALI CHOKI

Stori: Gladness Mallya
Majonzi! Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki amepata pigo kubwa la kufiwa na mkewe, Shuea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliyekuwa mke wa Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki, marehemu Shuea Hamis ‘Mama Shuu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa masikitiko, Choki alisema kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

BENDI YA SKYLIGHTY: Mwaka mmoja, nyimbo tatu, studio

Licha ya kuwapo kwa bendi kongwe ambazo zimekuwa zikipiga muziki wa dansi kuanzia miaka ya 70, kama vile Msondo na Sikinde, kuna bendi mpya zinazopiga muziki wenye mahadhi ya Kiafrika ambazo zimekuwa na mashabiki wengi na kuwa gumzo Tanzania nzima.

 

9 years ago

Bongo5

Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop

choki

Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.

Choki

Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.

“Unajua kitu ambacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani