Alichokisema JB kuhusu soka la bongo. Asikitishwa na uchovu wa wachezaji.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii nchini, mwigizaji nguli Jacob Steven – JB ameamua kufunguka haya yake ya moyoni kuhusu mpira wa kibongobongo
“Wapenda kandanda kama mimi hembu tujadili kidogo nyinyi mnaonaje? hivi mbona mimi sielewi? ni kweli hata mimi nafurahia ujio wa wachezaji wa kigeni kwamba wataleta changamoto lakini hawa wa kwetu wamekumbwa na nini? mbona mchezaji anacheza msimu mmoja tu kwisha? leo hii angalia timu ya taifa ukiacha kina Samatta hatuna mshambuliaji, hamuoni wivu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Alichokisema Zamaradi kuhusu bongo Movies. "Tatizo liko wapiii"?
Leo mwanadada Zamaradi mketema ameamua kusema haya kuhusu filamu zetu nchini. Kama wewe ni mdau wa bongo movies tafadhali tusaidie kutoa maoni yako juu ya maswali haya ambayo zamaradi anauliza…
Hichi ndicho alichosema…
“…Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu... R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi binafsi zilionekana na kila mtu aliona huenda angefika mbali.. lakini baada ya hapo sioni tena!!!!
Mbona hapa...
10 years ago
Bongo520 Oct
Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo
10 years ago
Bongo Movies23 Jun
Maneno Haya ya JB Kuhusu ‘Soka la Bongo’ Yaungwa Mkono na Wengi
Kutoka mitandaoni, JB amendika haya kuhusiana na timu yetu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’
Timu nzuri ya Taifa inaanzia kwenye vilabu...ili upate wachezaji wazuri ni lazima uwekeze.mpira ni kama shule unaanzia cheke chea.Watoto hawa wakati wako huko camp wanafundishwa mpira na shule pia wanaenda.viwanja na waalimu.uwekezaji huu ni rahisi kufanywa na mtu binafsi kama Azam kulikotimu zinazomilikiwa na wanachama....Naamini wawekezaji wanamna hii wakiongezeka na kupata sapoti kutoka kwa...
10 years ago
Vijimambo31 Jan
DIAMOND ALICHOKISEMA KUHUSU EX WA ZARI
![](http://www.hashtagsquare.com/wp-content/uploads/2014/09/diamond-platnumz728d-710x837.jpg)
Stori: Musa Mateja/RisasiICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
![](http://www.redpepper.co.ug/wp-content/uploads/2015/01/king-law.jpg?width=650)
X wa Zari, King lawrence akipozi.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya...
9 years ago
StarTV29 Aug
Unajua alichokisema Mwakyembe kuhusu Richmond
![Dk Harrison Mwakyembe](http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/mwakyembe28mbeya_210_120.jpg)
Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli katika viwanja vya Luandanzovwe jijini Mbeya, jana.
Akizungumzia madai ya kwa nini baadhi ya wahusika hawakupelekwa mahakamani kama kuna ushahidi, mhadhiri huyo wa sheria alisema kosa la...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Alichokisema Wastara Kuhusu Mastaa Kutoa Mimba
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.
Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo.
“Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu amewaandikia watoto wangapi katika maisha yao, pia waache tabia ya kutoa mimba kwani baadaye wakati wakiwa tayari kuzaa watashindwa kuwapata na kujikuta...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Hiki Ndicho Alichokisema Meninah Kuhusu Wema na Kajala
Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio)
Hivi karibuni Msanii Diamond Platnumz amekuwa akilitumia jina la Simba kama moja ya a.k.a katika maeneo mbalimbali hasa akiwa kwenye stage, Lakini hapa nakukutanisha na Msanii Mr. Blue akielezea watu wanaotumia jina hilo. Unaweza kubonyeza Play hapa chini na ukapata full stori Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.