Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba: Diamond hawezi kuziba nafasi yangu

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema msanii mwenzake wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ hawezi kuziba nafasi yake. Kauli hiyo ya Alikiba imekuja baada ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Olunga kuziba nafasi ya Sherman

MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC  ya Afrika Kusini.

Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.

Kiongozi huyo ambaye...

 

9 years ago

Mtanzania

Shiwata kuziba nafasi ya Kepteni John Komba

kOMBAMTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unatarajia kutaja majina ya wanachama wake watakaokabidhiwa nyumba 13 katika Kijiji cha Mwanzega, Mkuranga.

Mwenyekiti wa mtandao huo, Cassim Twaalib, alisema mkutano huo utafanyika katika ofisi zake zilizopo Ilala, Bungoni Dar es Salaam kuanzia saa nne asubuhi.

Twaalib aliongeza kwamba pia watatangazwa viongozi watakaoshika nafasi za uongozi zilizo wazi ambazo ni Makamu Mwenyekiti iliyokuwa ikishikiliwa na Marehemu Kepteni Komba, Katibu ambayo ilikuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: MUOMBEENI MAMA YANGU HAWEZI HATA KUJIGEUZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amewaomba Watanzania kuendelea kumuombea Mama yake mzazi ambaye amelala kitandani kwa kipindio cha miaka miwili sasa bila kujigeuza wala kula.

Kauli hiyo ameitoa leo Juni 16, 2020, wakati wa hotuba yake  ya kuvunja rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma.

"Ninawaomba muendelee kumuombea mama yangu ambaye amekaa na Kiharusi hawezi akazungumza, hawezi akajigeuza, hawezi akala, anakula kwa kutumia mpira...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mwana FA f/ Alikiba — Kiboko Yangu

Mwana FA ameachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba ‘Kiboko Yangu’. Isikilize hapa.

 

10 years ago

Bongo5

Collabo ya Mwana FA na Alikiba ‘Kiboko Yangu’ yanukia

Kabla ya kuachia ‘Mfalme’ aliyomshirikisha G-Nako, Hamis Mwinjuma aka Mwana FA alikuwa amepanga kutoa wimbo aliomshirikisha Alikiba, ‘Kiboko Yangu’. Na pia ‘Kiboko Yangu’ ndio wimbo alioanza kurekodi kwenye studio za MJ Records chini ya producer Marco Chali lakini aliamua kuanza kuachia ‘Mfalme’ iliyotayarishwa na Nahreel. Hata hivyo kwa mujibu wa tweets za Mwana FA na […]

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

AY: Diamond hawezi kunifunika

NYOTA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’, amesema msanii mwenzake, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’, hawezi kuathiri muziki wake kwani kila mtu ana malengo yake katika fani hiyo....

 

10 years ago

GPL

MUME: ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND

Stori: Kampala, Uganda Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.” Staa mkubwa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani