Alikiba kutumbuiza jukwaa moja na Mafikizolo, Black motion, Beatenberg na Sauti soul tarehe 15 August
Kingkiba au Alikiba ataperfom jukwaa moja kwa mara ya kwanza na kundi la wasanii wakubwa kutoka Afrika kusini Mafikizolo, Black Motion, Beatenberg, Sol M na Kenya number one music group Sauti soul, Jumamosi ya wiki ijayo tarehe 15 Agust kwenye Tamasha la ‘Party at the Park’ litakalofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Alikiba ,Mafikizolo, Black motion, Sauti soul ndani ya jukwaa moja leo katika Party at the Park!
Mpango mzima wa shoo ya leo hii ndio huu hapa..
Na Andrew Chale wa modewjiblog
(Kinondoni Dar es Salaam). Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake siku ya leo lipo katika pilikapilika za burudani za hapa na pale huku kubwa ni pamoja na shoo moja kabambe ya ‘PARTY AT HE PARK’ itakayofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive itakayowakutanisha kwa mara ya kwanza Mfalme wa muziki Bongo
Ali Kiba au KingKiba ambaye ataangusha shoo kali kwa mara ya kwanza jukwaa moja na kundi la wasanii wakubwa...
10 years ago
Habarileo09 Aug
`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m
MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.
10 years ago
Habarileo09 Aug
Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar
MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la muziki la Party in the Park litakalofanyika Jumamosi jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao
10 years ago
Bongo506 Nov
Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii
9 years ago
Bongo528 Sep
Sauti Sol kupanda jukwaa moja na Beyonce, Usher kwenye Global Citizen Festival
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s72-c/1.jpg)
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rIH0WR7WlvY/VEJ3RwGPZGI/AAAAAAAGrdI/URaG4XbjidI/s1600/3.jpg)
9 years ago
Habarileo17 Aug
Sauti Sol, Mafikizolo wakonga Dar
KUNDI la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini pamoja na kundi la Sauti Sol kutoka Kenya juzi walizikonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Party in the Park lililofanyika Oysterbay, Dar es Salaam.