Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIVYOFANYIWA MESSI, BARCA IKILAZIMISHWA SULUU

Beki wa Malaga, Weligton akimkwida mashavuni nyota wa Barcelona, Lionel Messi kabla ya kumsukuma chini, hadi akapewa kadi ya njano na refa Alejandro Hernandez, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo. Lionel Messi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Messi, Alves give Barca edge over City

Goals by Lionel Messi and Dani Alves saw Barcelona take control of their Champions League last 16 tie against Manchester City with a 2-0 win in Tuesday’s first leg.

 

11 years ago

Mwananchi

Messi atupia mbili Barca, Negredo apiga tatu City

>Lionel Messi amefunga mabao mawili akiwa amerejea baada ya kukaa nje kwa miezi miwili akisumbuliwa na tatizo la misuli na kuisaidia Barcelona kuichapa Getafe 4-0 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya tano ya Kombe la Mfalme.

 

10 years ago

GPL

MUME ASIMULIA ALIVYOFANYIWA USODOMA

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MH! Hatimaye yule mwanaume aliyedaiwa kufumaniwa na mke wa mtu na hatimaye kufanyiwa usodoma na  watu sita, akiwemo mume wa mwanamke huyo amefungukia mchezo mzima. Mwanaume aliyedaiwa kufumaniwa na mke wa mtu na hatimaye kufanyiwa usodoma. Hivi karibuni mwanaume huyo (jina tunalo) ambaye ni mume wa wake wawili na mkazi wa Yombo Kiwalani, Wilaya ya Ilala jijini Dar mwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Barca, Bayern zapeta

Barca, Bayern zapeta Arsenal, Chelsea chali

 

11 years ago

BBC

From bare feet to Barca and beyond

From playing in bare feet to Barca and beyond

 

10 years ago

Mwananchi

Barca mabingwa wa Ulaya

Barcelona wametwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya tano baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, katika mchezo wa fainali uliofanyika jana mjini Berlin, Ujerumani.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 85 ya uhasama Real, Barca

Ni miaka 85 tangu Real Madrid na Barcelona zikutane kwa mara ya kwanza katika mchezo baina yao, ambao umepewa jina la El- Clasico.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhispania na Barca kumkosa Valdez

Mlinda mlango wa Barcelona na Uhispania Victor Valdes hatashiriki Kombe la dunia baada ya kujeruhiwa goti

 

11 years ago

Mwananchi

Real, Barca, Atletico mtifuano

Bilbao imefunga mabao 15, huku wakishinda mechi 13 kwenye uwanja wao mpya wa San Mames

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani