Aliyegoma kula ahofiwa afya yake Angola
Afya ya mwanamuziki maarufu wa miondoko ya kufokafoka nchini Angola na mwanaharakati Luaty Beirao yazorota
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Nicki Minaj kutumbuiza Angola licha ya wanaharakati kuipinga show yake
![12327969_468705609983531_2040894811_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12327969_468705609983531_2040894811_n-300x194.jpg)
Nicki Minaj atatumbuiza nchini Angola Jumamosi hii licha ya taasisi ya Human Rights Foundation kuipinga show hiyo.
Minaj amethibitisha show hiyo kwenye Instagram.
“ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can’t wait to see u guys! Get your tickets here,” ameandika rapper huyo wa YMCMB.
Baadaye rapper huyo aliandika kwenye Twitter:
“Every tongue that rises up against me in judgement shall be condemned.”
Minaj atatumbuiza kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel,...
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Mwanasiasa aliyeahidi kula saa yake
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AIrpByqN-IE/Vd1DLhmfQrI/AAAAAAAAEa8/mqmZcZ-Gkz0/s72-c/1.jpg)
BINAGI MEDIA GROUP YAZINDUA KAMPENI YAKE YA "PIGA KURA EPUKA KULA"
![](http://2.bp.blogspot.com/-AIrpByqN-IE/Vd1DLhmfQrI/AAAAAAAAEa8/mqmZcZ-Gkz0/s640/1.jpg)
Katika Kampeni hiyo ambayo inaanza leo Agost 26, 2015 Wasomaji wa Mtandao huu pamoja na Wadau...
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Hofu ya Ebola Tanzania, mmoja ahofiwa
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Chenge ahofiwa kuliongoza Bunge kibabe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kuonyesha wasiwasi wao kuwa iwapo Andrew Chenge atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kudumu mijadala ya Katiba itaendeshwa kimizengwe. Wakizungunza kwa nyakati tofauti...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
NYANZA: Kamati yaundwa kuchunguza tuhuma za daktari aliyegoma kutoa huduma
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-04March2015.jpg)
Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Lowassa athibitisha ubora wa afya yake
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa, jana alithibitisha kwa vitendo kuwa afya yake iko safi baada ya kutembea umbali wa kilomita tano kwa miguu kwenye matembezi ya kupinga mauaji ya albino nchini.
Kwa muda mrefu, Lowassa ambaye ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amekuwa akidaiwa kuwa na matatizo ya afya na kuwa hawezi kuhimili mikimiki ya kampeni na shughuli nyingine...