Lowassa athibitisha ubora wa afya yake
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa, jana alithibitisha kwa vitendo kuwa afya yake iko safi baada ya kutembea umbali wa kilomita tano kwa miguu kwenye matembezi ya kupinga mauaji ya albino nchini.
Kwa muda mrefu, Lowassa ambaye ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amekuwa akidaiwa kuwa na matatizo ya afya na kuwa hawezi kuhimili mikimiki ya kampeni na shughuli nyingine...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 May
Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM
Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATHIBITISHA UWEPO WA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA NCHINI
Na Avila Kakingo, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 ameainika kuwa na virusi vya Corona Covid 19 ambaye aliwasili nchini na ndege ya Rwandan air akitokea nchini ubelgiji.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri Ummy amesema kuwa mtu huyo ambaye ni mwanamke raia wa Tanzania aliondoka nchini, Machi 3, 2020,ambapo kati ya Machi 5 hadi Machi13 alitembelea nchi za Swiden na Denmark na kurudi...
9 years ago
Bongo524 Nov
Baada ya kurudiana Kylie Jenner athibitisha kuwa ndoa yake na Tyga inakuja
Baada ya kudaiwa kuachana siku chache zilizopita, rapper Tyga na mrembo kutoka kwenye familia maarufu ya The Kardashians, Kylie Jenner walionekana pamoja baada ya tuzo za ‘American Music Awards’ Jumapili iliyopita, ikiashiria kuwa wamemaliza matatizo waliyokuwa nayo.
Tyga aliyekuwa amevaa suti ya blue pamoja na Kylie aliyekuwa amevaa kivazi cheupe walionekana wakiwa wameshikana mikono baada ya tuzo hizo.
Wakati wakipanda gari ili kuelekea kwenye after party ya Justin Bieber, paparazzi...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Hasira inaathiri afya na ubora wa maisha
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mlo wako ni tafsiri ya ubora wa afya yako
10 years ago
Vijimambo24 Jun
Mwinyi, Mkapa kuwajadili wakina Membe, Lowassa.Waitwa pia Malecela, Karume, Dk. Salmin, Msekwa athibitisha kuandaa kikao.
Wakati joto la kusaka nafasi ya kuteuliwa kuwania urais kwa tikiti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiwa linazidi kupanda, Baraza la Ushauri wa Wazee linajipanga kukutana baada ya kikao kilichokuwa kifanyike leo kuahirishwa.
Katibu wa Baraza hilo, Pius Msekwa, aliiambia NIPASHE jana kuwa kikao cha leo kimeahirishwa kutokana na baadhi ya viongozi wakuu wa chama kuwa safarini, kwani walikuwa wamewaalika kwenye mkutano wao uliokuwa ufanyike jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho ni...
9 years ago
VijimamboLOWASSA KATIKA UBORA WAKE, MJINI DODOMA
10 years ago
Bongo531 Jan
Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond
9 years ago
Bongo526 Dec
Kampuni ya Nestle yathibitisha ubora na uhalisia wa bidhaa yake ya Nido
Kampuni mama ya bidhaa ya maziwa ya unga ya NIDO, Nestle, hivi karibuni imethibitisha ubora na uhalisia wa bidhaa yake hii maarufu ya NIDO.
Hii imekuja baada ya mabadiliko ya chanzo cha upatikanaji wa maziwa haya kuhamia nchi ya Afrika Kusini, mabadiliko haya yalisababisha mkanganyiko kwa watumiaji wake wa kila siku.
Kampuni ya Nestle imewahakikishia kuwa NIDO (kwenye picha) kama ilivyo bidhaa nyingine kutoka Nestle, imetengenezwa kwa kufuata viwango vya hali ya juu kabisa vya uborana...