Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyenusurika shambulio la Polisi alonga

Siku moja baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kuvamia kituo cha Polisi Stakishari kuua na kupora silaha, mmoja wa walionusurika katika tukio hilo askari Gaston Shadrack amesimulia hali ilivyokuwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyenusurika Sitakishari asimulia alivyoua jambazi akiwa majeruhi wa risasi

>Ni ukweli usiopingika kwamba siku ya kuzaliwa na kufa ya kila binadamu anaijua Mungu. Akaiamua kukuita kwake, huwezi kupinga kifo kwa namna yoyote.

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO TENA PARIS, POLISI WA KIKE AUAWA KWA RISASI

Mmoja wa majeruhi wa shambulio la leo akipatiwa huduma ya kwanza na kikosi cha uokoaji. Eneo la Montrouge jijini Paris nchini Ufaransa lilipotokea shambulio la leo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyenusurika ajali ya Mbeya asimulia

>Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyoua watu 19, Mariam Manfredy (28) aliyevunjika mguu wa kushoto, anasimulia ajali hiyo na kusema chanzo ni mwendo kasi na kuungua kwa breki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Westgate:Msusi aliyenusurika anavyojikimu

Huku Kenya ikiadhimisha mwaka mmoja tangu shambulizi la kigaidi la Westgate jijini Nairobi. Je maisha ya waathiriwa yakoje

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Aliyenusurika meno ya Papa kurejea A.Kusini

Muogeleaji wa kuteleza kwenye mawimbi raia wa Australia aliyenusurika kung'atwa na papa Mick Fanning amesema kuwa atarejea kwenye mchezo huo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki

Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliyenusurika kwenye tukio la kukanyagana asimulia

Kila mtu alikuwa anataka kukanyanga mafuta ya upako na kuondoka, muathirika wa tukio lililouwa watu 20 Kilimanjaro asimulia.

 

9 years ago

Habarileo

Mzindakaya alonga

MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema wakati umefika wananchi kufurahia Tanzania mpya isiyo na rushwa wala umasikini chini ya uongozi wa Rais John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani