Aliyetoa siri ya ngono CAR kurudi kazini
Mahakama ya Nidhamu ya Umoja wa Mataifa imetoa hukumu ya kwamba adhabu ya kusimamishwa kazi kwa Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kwa kosa la kutoa taarifa asizoruhusiwa iondolowe mara moja.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli alazwa chini
Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.
Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZI
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa aliyeibua ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge (pichani)amekutwa na Uwazi akiwa amelala sakafuni wodini.
Desemba 25, mwaka huu, Uwazi lilifika hospitalini hapo Jengo la Sewa Haji wodi namba 18 na kumshuhudia Chacha amelalia mashuka aliyoyatandika chini huku...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka
Chacha Makenge.
NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge, amesababisha mapya kuibuka.
Wakizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, maofisa uhusiano wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi), Frank Matua na Patrick Mvungi kwa nyakati tofauti, walisema kuwa, mgonjwa huyo hakuwa...
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Walimu wakataa kurudi kazini
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Walimu Kenya kurudi kazini leo
NAIROBI, KENYA
VYAMA vya walimu nchini vimetii agizo la mahakama, na hivyo kutangaza kusitisha mgomo na kuwaomba walimu kuripoti kazini kuanzia leo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Taifa cha Walimu (KNUT), Wilson Sossion aliwataka walimu wote waliokuwa kwenye mgomo kurudi darasani akisema kuwa leo ni mwanzo mpya wa muhula wa tatu.
Aidha Chama cha Walimu wa Taasisi za Kati (KUPPET) pia kiliwaomba wanachama wake kurejea kazini.
Hata hivyo, Sossion alisema bado wana hofu kuwa serikali inalenga...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wanajeshi waasi warejea kazini CAR
10 years ago
Habarileo29 Sep
Airtel waeleza siri ya ufanisi kazini
IMEELEZWA kuwa ufanisi wa watumishi katika ngazi mbalimbali za kiutendaji unaweza ukaongezeka pindi wafanyakazi wanapokutana pamoja na kubadilishana mawazo na viongozi wao katika hali ya kirafiki.
10 years ago
StarTV06 Jun
Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .
Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.
Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .
Bwana Mbeki mwenyewe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5XoLR*xV*Cfay14hpvQoYGU*sxque3KOsgryLAziydB40EiNuwyzEJ51XvIDYitbICgZ1lJe083s66s09mQWRvG/Polisi.gif?width=650)
KUMBE ASKARI MAGEREZA NDIYE ALIYETOA MAFUNZO
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Waziri:Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA