Allan Lucky aonesha uwezo kwenye moja na mbili
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Rapper Mtanzania Allan Kingdom alivyoshea jukwaa moja na Kanye West…..(+Video)
Ni headlines za rapper mtanzania Allan Kingdom aishiye Minnesota Marekani ambaye jina lake lilianza kujulikana na kupata airtime baada ya kushirikishwa kwenye single iitwayo All Day na rapper Kanye West. Kanye West anafahamika kwa kuwatoa wasanii wakubwa nchini marekani, kwa mfano leo hii bila Kanye West basi mashabiki wa muziki wa duniani wasingewajua wasanii John Legend […]
The post Rapper Mtanzania Allan Kingdom alivyoshea jukwaa moja na Kanye West…..(+Video) appeared first on...
9 years ago
Bongo511 Nov
Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/page-300x194.jpg)
Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:
It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust don’t forget...
10 years ago
Bongo502 Dec
Picha: Madonna aonesha chuchu zake kwenye jarida la ‘Interview’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s72-c/unnamed.jpg)
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa
![](http://1.bp.blogspot.com/-bLEybj6Y_vM/U_ci-4SylbI/AAAAAAAGBWA/CsXSA1CSstI/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIziE9N6wDzK6U40Cs*Zx1yMnGD5QuoxEDDRis4xOB3ji7w89VDuQqahVIYPkwundAoIfzVLWFQKbyeDHVbtB0l/DSC_0056.jpg?width=650)
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
11 years ago
CloudsFM31 Jul
DIAMOND:NIMESHINDA TUZO MBILI LAKINI NIMEPEWA MOJA
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz aliwasili hivi karibuni na kupokelewa na maelfu ya mashabiki wake kwenye uwanja wa ndege baada ya kushinda na tuzo moja ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki(AFRIMMA) tofauti na awali ilivyoripotiwa kuwa ameshinda tuzo mbili. Diamond aliongea na waandishi wa habari waliofika kimpokea na kusema...
“Kwenye jukwa la AFRIMMA Alitangazwa kushinda tuzo mbili ambazo ni Msanii Bora Wa Kiume Afrika Mashariki Na Wimbo Bora Wa Kushirikiana ambao ni Number One Ft...
11 years ago
GPLTAIFA STARS YAWAFUNGA WADOGO ZAO MBILI KWA MOJA
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB
Kuelekea mpambano wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI ,MOJA IKIWA IMEFUNGWA HIRIZI.