AMINA CHIFUPA PASTOR JOSEPHAT GWAJIMA
![](http://img.youtube.com/vi/p6_WYvVcRDM/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5migVjJPElTMBHygkqqzcargWn9yuFXVRFnMf4Qb8BFaG8t46lP6IEoVt5hjVnr6GJundB-0udUqsyY-KuKOJM5E/bui.jpg)
AISHA BUI: SIKUVUNJA NDOA YA AMINA CHIFUPA!
WIKI iliyopita tuliwadondoshea staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui ambaye mlimbananisha na kwa maswali kibao ambayo wiki hii anayajibu.
UNGANA NAYE… Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akipozi. ANASUBIRI NINI KUOLEWA?
Dada Aisha nasikia hujaolewa, unasubiri nini, ona umri unasonga? Dismas, Lindi, 0782713879
AISHA BUI: Kuolewa ni uamuzi hivyo bado sijaamua. KUHUSU MPAKANJIA
Aisha mimi nilitaka kujua ile miaka ya...
10 years ago
GPLKANISA LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KAWE LATAKIWA KUVUNJWA
Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima Nakala ya barua kutoka kwa Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa NHC. KANISA la Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, wilaya ya Kinondoni, jijinI Dar limeamriwa kuondoka eneo hilo. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiendesha shughuli zake eneo hilo limedaiwa kusababisha usumbufu na kero kubwa za… ...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-i3ccetVZ0Ec/VO_RDNqe6dI/AAAAAAADa5g/ApUfyh9T4T4/s72-c/GWAJIMA-afungikishwa%2Bvirago%2Bkawe.jpg)
KANISA LISILO RASMI LA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA LAVUNJWA KAWE
Kanisa la lisilo rasmi la mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe,wilaya ya Kinondoni,jiji Dar limeamuriwa kuondoka mara moja na kuwacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu lemekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua iliosainiwa na Meneja...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-3KSKcrp8RuY/VP0O6vtjbBI/AAAAAAAAH7Q/I3gDavZbEqw/s72-c/Siku%2B30%2Bza%2Bnotisi%2Bzimetimia%2BMchungaji%2BJosephat%2BGwajima%2BKufunga%2Bvirago%2BKawe%21.jpg)
Siku 30 za notisi zimetimia Mchungaji Josephat Gwajima Kufunga virago Kawe!
![](http://4.bp.blogspot.com/-3KSKcrp8RuY/VP0O6vtjbBI/AAAAAAAAH7Q/I3gDavZbEqw/s1600/Siku%2B30%2Bza%2Bnotisi%2Bzimetimia%2BMchungaji%2BJosephat%2BGwajima%2BKufunga%2Bvirago%2BKawe%21.jpg)
Katika Barua iliosainiwa na Meneja wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Q3-D8cZEiTI/VRVxPSQrLCI/AAAAAAAHNrE/pYCTosb7Chk/s72-c/unnamed.jpg)
ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q3-D8cZEiTI/VRVxPSQrLCI/AAAAAAAHNrE/pYCTosb7Chk/s1600/unnamed.jpg)
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1JmUnR4Z2cE/VRnDbsKGSGI/AAAAAAAHOd8/Ik-DtqiZEco/s72-c/unnamedg.jpg)
UPDATES: TAARIFA YA NYONGEZA/UFAFANUZI YA TUKIO LA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AKIWA HOSPITALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-1JmUnR4Z2cE/VRnDbsKGSGI/AAAAAAAHOd8/Ik-DtqiZEco/s1600/unnamedg.jpg)
Ufafanuzu ni kama ifuatavyo:
Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat Gwajima. Kuhusu risasi 17 za Short Gun ni kwamba Askofu Gwajima anamiliki Bunduki...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jHotBHjMWWg/VWvPKMen3AI/AAAAAAAAgoI/dB4owz5gNvc/s72-c/JLK.jpg)
HERI YA KUZALIWA MWANAKIJIJI JOSEPHAT LUKAZA..FELIZ CUMPLEAÑOS JOSEPHAT LUKAZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-jHotBHjMWWg/VWvPKMen3AI/AAAAAAAAgoI/dB4owz5gNvc/s640/JLK.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s72-c/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s1600/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania