Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMISOM yaukomboa mji wa Gedo Somalia

Mji wa Baardheere ulioko eneo la Gedo nchini Somalia umekombolewa na wanajeshi wa Muungano wa Afrika AMISOM, ikiwa ni mara ya kwanza kwa miaka saba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

AMISOM:Hatutaondoka Somalia

Wanajeshi wa umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom hawataondoka katika miji yoyote ya kusini mwa Somalia kinyume na ripoti za vyombo vya habari,kwa mujibu wa Amisom

 

9 years ago

BBCSwahili

Amisom waliwaua 6 harusini Somalia

Human Rights Watch,linasema kuwa wanajeshi wa Uganda walivamia kijiji kimoja ambako kulikuwa na umatu harusini na kuwaua watu 6.

 

11 years ago

BBCSwahili

Amisom:Al Shabaab yapata kipigo Somalia

Kikosi cha jeshi la muungano wa Afrika, Amisom, kimeshambulia kambi za wapiganaji wa al Ahabaab huku na kuwaua wapiganaji 80 wa kundi hilo

 

10 years ago

GPL

AMISOM YAFELISHA SHAMBULIO LA AL-SHABAB, SOMALIA

Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia, AMISOM. Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia, AMISOM wametangaza kuwa, wamefanikiwa kufelisha shambulizi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab nchini humo. Askali hao wakiwa kwenye oparesheni hiyo. Taarifa iliyotangazwa na Sam Kavuma, mmoja makamanda wa askari hao, imesema kuwa wanamgambpo wa al -Shabab walijaribu kudhibiti kambi za kijeshi za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Al-Shabab watwaa mji kusini mwa Somalia

Al-Shabab wanasema wameutwaa mjini wa Janale kusini mwa Somalia ambako wanajeshi wa Muungano wa Afrika waliuawa mapema mwezi huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gedo arejea Al Ahly kutoka Hull

Mshambuliaji wa Misri, Gedo, amerejea katika klabu ya Al Ahly, baada ya klabu ya Hull kusitisha huduma zake kwa klabu hiyo

 

11 years ago

BBC

Egyptian striker Gedo leaves Hull

Egyptian striker Gedo returns to Al Ahly after English Premier League side Hull bring an early end to the player's loan deal.

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab yashambulia kambi ya AMISOM

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu Al Shabaab limeshambulia kambi ya walinda usalama wa muungano wa Afrika AMISOM nchini Somalia

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Ethiopia wajiunga na Amisom

Wanajeshi wa Ethiopia hii leo wamejiunga rasmi na wanajeshi wa (AMISOM) wanaoshika doria nchini Somalia kupambana na Al Shabaab

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani