Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aneth Kushaba kufungua mwaka na ‘Call Me’

KushabaNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na Mkurugenzi wa Bendi ya Stars, Aneth Kushaba, amesema anatarajia kuvunja ukimya wake mapema mwakani na wimbo unaoitwa ‘Call Me’ ambao ameufanya kwenye studio za B Hits chini ya mtayarishaji, Pancho Latino.

Aneth alisema kwa muda mrefu amefanya kazi chini ya bendi hivyo mashabiki wake wamekuwa wakiuliza kazi zake binafsi zitatoka lini na ameamua kuwajibu kwa kuutoa wimbo huo utakaotoka Januari mwakani.

“Huo ni wimbo wangu binafsi, kwa muda mrefu nimekuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Shabiki wa Skylight Band awadatisha Joniko Flower na Aneth Kushaba kwa kucheza ma-style ya bendi hiyo bila kukosea!

DSC_0106

Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0130

Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony Masamba wakiwajibika jukwaani.

DSC_0155

Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0046

So how do you expect me to live alone with just me …’Cause my world revolves around you
It’s so hard for me to breathe...No air...

 

11 years ago

GPL

SHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA KUCHEZA MA-STYLE YA BENDI HIYO BILA KUKOSEA!‏

Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar. Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony Masamba wakiwajibika jukwaani.…

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Global Publishers

Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live

Ali Choki - Twanga_6 Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Ali Choki -Twanga_5Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

TIGO MUSIC KUTIKISA JIJI NA BURUDANI YA KUFUNGUA MWAKA

Meneja Chapa wa Tigo bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni. Picha zote kwa hisani ya Mdimuz BlogMkuu wa Kitengo cha Ufanisi na Burudani bi. Paulina Shao akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AWASILI MKOANI MOROGORO KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA MWAKA URA-SACCOS

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP, Ernest Mangu akisalimiana na maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi leo mjini Morogoro walipokua wanamkaribisha kufungua mkutano wa sita wa mwaka wa Usalama wa Raia saccos (URA-SACCOS). Chama hicho cha akiba na mikopo kimekua mkombozi wa askari polisi kwa kuwapatia mikopo rahisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

 

5 years ago

Michuzi

Mwananchi apanga kufungua shauri,Mahakama izuie uchaguzi mwaka huu,fedha zielekezwe kupambana na Corona



Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwananchi mmoja anaefahamika kwa jina la Johnson Mgimba mkazi wa Njombe Mjini amesema kutokana na ugonjwa wa covid19 kuendelea kushika kasi nchini na duniani kote , amekusudia kufungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Iringa ya kuomba serikali kusitisha mchakato na maandalizi ya uchaguzi mkuuu na fedha iliyotengwa kuelekezwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Raia huyo ambaye amejibatiza jina la kijana mzalendo amesema kuna kila sababu ya kusitisha uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani