Apata umaarufu kwa kupiga picha na sodo
Kijana mmoja nchini Marekani amesifiwa kwa kugawa picha yake ya 'selfie' akibeba sodo huku akiwataka vijana wenzake kumuiga ili kuwasadia wasichana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Beth apata umaarufu kwa kutumia vipodozi kujichora
Beth Gallagher mwenye umri wa miaka 25 amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni kwa kutumia vipodozi kujifananisha na watu mashuhuri.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQSWC8czVmv7tfzYnOI-ggriR9SG0Qmcm9sFydz1aktFc6CKLkN98T40*4srSjEOG8Ow5o3a1kuZDNmZepdeA7aM/MrishoMpoto.jpg?width=650)
SIMULIZI YA MPOTO: APATA UMAARUFU, ARUDI SONGEA
MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipowasili nchini akitokea Marekani ambapo alikutana na Irene Sanga na kuandika mashairi na kukubalika na jina la Mjomba likatokea. Baada ya hapo alipata shoo nyingi lakini kuna jambo lilimtokea.Tambaa nayo mwenyewe... “Jambo kubwa la kwanza ni kwamba baada ya kupata shoo nyingi, nikaanza kuwa maarufu, naitwa na kufanya mahojiano mengi...
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’. Penny, Junaithar aliyewapatanisha, na Wema Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku […]
11 years ago
Michuzi13 Feb
NEWS ALERT:MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
Picha na Francis Godwin-Iringa.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dVDrJyegpvoLXGx06PekJjiEaB5mINPapoW1Wj5GJNYo9P3EuTh3lbgMx1OVdE9UX-uIGJoMFQpMlRcjlmITGw5/zari10.jpg)
ZARI KUPIGA PICHA YA UTUPU
Imelda mtema UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuwa atapiga picha moja ya utupu ili kuwakata vilimi wanaopenda kumzungumzia vibaya.Zari ametoa kauli hiyo hivi karibuni kufuatia wafuasi wa Mtandao wa Instagram kumnanga kuwa hakutumia busara kuposti picha zake za nusu utupu akiwa mjamzito.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7EdxJ ...
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Sodo za mabaki ya migomba Rwanda
Mradi wa kipekee umeanzishwa nchini Rwanda wa kutengeneza sodo ama taulo zinazotumiwa na wanawake wakati wa hedhi kwa kutumia nyuzi zitokanazo na mabaki ya migomba.
9 years ago
Mwananchi08 Dec
‘Marufuku kupiga picha vifaa vya kijeshi’
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa onyo kwa wananchi kutokujihusisha na upigaji picha wa vifaa vya kijeshi na kuvisambaza katika mitandao ya kijamii.
9 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie
Fareed Kubanda aka Fid Q na mchumba wake wamejaaliwa mtoto wa kike. Mtoto huyo amepewa jina Fidelie. Allah kanibless na Mtoto wa kike asubuhi hii.. Allah is always great 🙏
#FIDELIA #FIDELIA #FIDELIA pic.twitter.com/YwNiDx1ZBL — #KEMOSABE(Interlude) (@FidQ) September 25, 2015 Mtoto huyo amezaliwa asubuhi ya leo. Kupitia Instagram pia Fid ameandika: Alhamdulillah… She’s here, The […]
10 years ago
Vijimambo09 Jun
KUPIGA PICHA WATENDA MAKOSA BARABARANI NI KUREKEBISHA TABIA
![Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/730328371_149891.jpg)
![Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha mawasiliano cha kikosi cha usalama barabarani](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/730111309_123262.jpg)
Na Augustus Fungo, Balozi wa Usalama Barabarani HIVI karibuni imejitokeza njia mpya ya kusaidia kupambana na wimbi la ajali za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania