‘Marufuku kupiga picha vifaa vya kijeshi’
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa onyo kwa wananchi kutokujihusisha na upigaji picha wa vifaa vya kijeshi na kuvisambaza katika mitandao ya kijamii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Vifaa vya daftari la kupiga kura tatizo
Wakati panzia la majaribio ya uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya mashine za kisasa za Biometric Voter Registration (BVR), likifunguliwa jana katika Jimbo la Kawe, Wilaya ya Kinondoni, mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo.
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Wananchi wateketeza vifaa vya kupiga kura Sumbawanga
Watu wapatao 200 wameteketeza kwa moto vifaa vya kupiga kura huku wengine wakiwajeruhi wasimamizi wa uchaguzi kwa kile kinachoonekana kuwa ni hofu ya kusambazwa kwa kura feki.
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Je Kupiga marufuku uuzaji pombe ni suluhisho la kuzuia maambukizi?
Mwandishi wa BBC Andrew Harding anaangazia marufuku ya uuzaji pombe wakati wa amri ya kutotoka nje nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Bongo510 Sep
Picha: Vodacom yamwaga vifaa vya timu 14 za ligi kuu
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom. kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga.Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 430 […]
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-z_QgRK2k27s/VmAbNSwwSeI/AAAAAAAIJ_Q/IKaPTVAhI50/s72-c/IMG_6332.jpg)
KUPIGA PICHA NA KOMBE LA BARCLAYS PREMIER LEAGUE KESHO LITAKUWA IPP MEDIA, MLIMANI CITY, MAZESE, BIAFRA NA VIWANJA VYA KARUME JIJINI DAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-z_QgRK2k27s/VmAbNSwwSeI/AAAAAAAIJ_Q/IKaPTVAhI50/s640/IMG_6332.jpg)
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’. Penny, Junaithar aliyewapatanisha, na Wema Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku […]
11 years ago
Habarileo02 Jun
DC apongezwa kupiga marufuku Kata K
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amepongezwa na vijana wilayani humo kwa uamuzi wake wa kuwapiga marufuku vijana wote wa kiume popote wilayani humo kuvaa suruali kwa mtindo wa mlegezo maarufu kama Kata K .
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
FIFA yatishia kupiga marufuku Nigeria
FIFA imetishia kutimua Nigeria kutoka kwa shirikisho hilo iwapo Giwa ataendelea kuwa rais wa NFF
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
ECOWAS yapanga kupiga marufuku mtandio
Nchi wanachama wa ECOWAS zinasema mtandio wa hadi usoni umekua ukitumiwa na wanawake wanaojitoa mhanga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania