Vifaa vya daftari la kupiga kura tatizo
Wakati panzia la majaribio ya uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya mashine za kisasa za Biometric Voter Registration (BVR), likifunguliwa jana katika Jimbo la Kawe, Wilaya ya Kinondoni, mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Wananchi wateketeza vifaa vya kupiga kura Sumbawanga
5 years ago
CCM BlogNEC KUTUMIA VIFAA KINGA VYA CORONA KATIKA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imenunua vifaa kinga kujihadhari na Corona wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na uwekaji wazi Daftari unaotarajiwa kuanza Aprili 17 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni.
"Baada ya mashauriano na wadau wakuu, Tume imeona...
11 years ago
MichuziWANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA MFUMO UTAKAOTUMIKA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA.
10 years ago
VijimamboKINANA ASHIRIKI BONANZA LA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi na waratibu wa Bonanza maalum la kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika Daftari Maalum la kupiga kura mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Gonga, Karakata tayari kushiriki mchaka mchaka na vijana zaidi ya 500 kutoka vikundi mbali mbali vya wilaya ya Ilala na Temeke.
Vijana wakiwa wamekusanyika tayari kuanza kushiriki mazoezi ya jogging kwenye uwanja wa Gonga, Karakata ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
‘Marufuku kupiga picha vifaa vya kijeshi’
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Zoezi la uboreshwaji daftari la wapigakura laendelea mkoani Pwani, Rais Jakaya Kikwete ajiandikisha kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.
Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya...
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Vifaa vya hali ya hewa tatizo Afrika
10 years ago
Habarileo18 Aug
NEC: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na tume hiyo.
10 years ago
Habarileo18 Aug
NIDA: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).