Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC apongezwa kupiga marufuku Kata K

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amepongezwa na vijana wilayani humo kwa uamuzi wake wa kuwapiga marufuku vijana wote wa kiume popote wilayani humo kuvaa suruali kwa mtindo wa mlegezo maarufu kama Kata K .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kata K marufuku Sumbawanga

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Mathew Sedoyeka amepiga marufuku kwa kijana yeyote wa kiume mahali popote wilayani humo kuvaa suruali kwa staili ya Kata K.

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KATA YA SARANGA KUPIGA KURA JUMAPILI

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WANANCHI wa Kata ya Saranga Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kujitokeza kupiga kura ya Diwani Novemba 15 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty amesema kuwa kufanya uchaguzi huo kunatokana na kuharibika kwa uchaguzi wa Oktoba 25 ulisababishwa na vurugu.
Amesema wananchi wanaotakiwa kupiga kura kwa kata hiyo ni wale waliojiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.Natty amesema...

 

9 years ago

BBCSwahili

ECOWAS yapanga kupiga marufuku mtandio

Nchi wanachama wa ECOWAS zinasema mtandio wa hadi usoni umekua ukitumiwa na wanawake wanaojitoa mhanga

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yatishia kupiga marufuku Nigeria

FIFA imetishia kutimua Nigeria kutoka kwa shirikisho hilo iwapo Giwa ataendelea kuwa rais wa NFF

 

9 years ago

Mwananchi

‘Marufuku kupiga picha vifaa vya kijeshi’

Jeshi  la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) limetoa onyo  kwa wananchi kutokujihusisha na upigaji picha wa vifaa vya kijeshi na kuvisambaza katika mitandao ya kijamii.

 

11 years ago

Habarileo

Zanzibar kupiga marufuku nguo za ndani za mitumba

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema nguo za ndani za mitumba zitapigwa marufuku mara baada ya kuanza kutekelezwa kwa sheria ya biashara ya mwaka 2013. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Juma Duni Haji wakati akiwasilisha utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Kamati ya Biashara Fedha na Kilimo kwa mwaka 2014.

 

9 years ago

Mwananchi

IGP apiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura

Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.

 

9 years ago

StarTV

Wanasiasa wapigwa marufuku kutumia maeneo ya shule kupiga kampeni

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime na msimamizi wa uchaguzi Venance Mwamengo amevitaka vyama vya siasa kuacha kutumia maeneo ya shule na vyuo kuendesha mikutano yao ya kampeni ili kuepuka kuvuruga masomo kwa wanafunzi husika.

Amesema hayo wakati mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko alipochukua fomu ya kuwania ubunge.

Mwamengo amesema kwamba hata ruhusu ratiba ya chama chochote cha siasa, kuendesha mikutano yao ya kampeni katika maeneo ya taasisi yoyote ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa

Hukumu hiyo ni hatua kali zaidi ya kuzuia ulaji wa nyama ya mwituni, baada ya kuhusishwa na virusi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani