Wanasiasa wapigwa marufuku kutumia maeneo ya shule kupiga kampeni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime na msimamizi wa uchaguzi Venance Mwamengo amevitaka vyama vya siasa kuacha kutumia maeneo ya shule na vyuo kuendesha mikutano yao ya kampeni ili kuepuka kuvuruga masomo kwa wanafunzi husika.
Amesema hayo wakati mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko alipochukua fomu ya kuwania ubunge.
Mwamengo amesema kwamba hata ruhusu ratiba ya chama chochote cha siasa, kuendesha mikutano yao ya kampeni katika maeneo ya taasisi yoyote ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi23 Aug
KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI, TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI
Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe mojaMkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao...
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Wanariadha wakenya wapigwa marufuku
10 years ago
Habarileo25 Feb
Uvuvi wa kasa wapigwa marufuku
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ni marufuku kwa wavuvi kuvua samaki aina ya kasa katika eneo la bahari ya Zanzibar ambapo viumbe hao wapo katika hatari ya kutoweka duniani.
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku
10 years ago
CloudsFM14 Jan
Wapiga ramli wapigwa marufuku
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Wavuvi haramu Mwanzugi wapigwa marufuku
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi Kanda ya Kati, imewaagiza watu wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi, wilayani Igunga, mkoani Tabora waache na endapo wataendelea kukaidi amri hiyo hatua...
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Uuzaji wa hisa za MTN wapigwa marufuku
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Upigaji busu hadharani wapigwa marufuku