Argentina vinara duniani kwa ubora
Shirikisho la Soka duniani Fifa imetoa orodha ya Ubora Duniani kwa mwezi wa Nane ambapo Argentina inaongoza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Argentina yaongoza kwa ubora duniani
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
11 years ago
Michuzi13 Feb
Tanzania ya 118 duniani katika msimamo wa ubora February 2014 - FIFA
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Bia ya Kibo Gold Lager ya SBL yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya ubora duniani ya Monde Selection
Na Mwandishi wetu
BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa.
‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji....
10 years ago
MichuziBIA YA KIBO GOLD LAGER YA SERENGETI BREWERIES LTD YASHINDA TUZO YA MEDALI YA DHAHABU YA UBORA DUNIANI YA MONDE SELECTION.
BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa.
‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji. Bidhaa hizo...
11 years ago
Bongo510 Jul
Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13
11 years ago
GPLHAYA NDIYO MAGARI VINARA KWA KUVUNJA SHERIA!
10 years ago
Vijimambo10 Mar
WATU 8 WAFARIKI KWA AJALI YA NDEGE ARGENTINA
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.
Wanne hao wanajumuisha pia wachezaji watatu wasifika nchini humo, walioaga dunia baada ya ndege mbili za Helikopta kugongana angani nchini Argentina.
Wakuu wametaja nyota hao kama bingwa wa nishani ya dhahabu katika uogeleaji kwenye mashindano ya Olimpiki,...
10 years ago
GPLARGENTINA YALIPA KISASI KWA WAJERUMANI, YAWAPIGA 4-2