Arsenal na Chelsea zaambulia patupu Uefa
Kilabu za Uingereza ziliendelea kuandikisha matokeo mabaya Ligi ya Kilabu Bingwa Ulaya baada ya Arsenal na Chelsea kushindwa kwenye mechi zao Jumanne usiku.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Kenya na Tanzania zaambulia patupu
11 years ago
BBCSwahili28 Aug
Arsenal yafuzu UEFA 2014
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Arsenal hoi dhidi ya Monaco UEFA
11 years ago
BBCSwahili02 Oct
Arsenal yaua, Liverpool hoi UEFA
11 years ago
BBCSwahili17 Sep
Liverpool yaua , Arsenal yachapwa Uefa
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Arsenal, Bayern kundi moja UEFA
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Chelsea na Atletico sare tasa UEFA
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Beyern, Barcelona, Chelsea zashinda UEFA
11 years ago
StarTV02 Oct
UEFA, Arsenal yaua huku Liverpool ikichapwa.
Mechi za klabu bingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa kuamkia Alhamis wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani.
Vijana wa mzee Wenger, Arsenal, ulikuwa usiku wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Galatasaray ya Uturuki, huku mchezaji mpya wa timu hiyo Danny ‘Electric’ Welbeck akiondoka na mpira baada ya kuzifumania nyavu za wapinzani wao mara tatu, moja likifungwa na Allexis Sanchez.
Katika mchezo huo Arsenal walimaliza pungufu baada ya kipa wao Wojciech Szczeny kutolewa...