Arsenal yafuzu UEFA 2014
Asernal yafuzu kucheza fainali za kombe la UEFA kwa msimu wa 17 mfululizo, yaifunga Besiktas 1-0
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Arsenal yafuzu,Liverpool yatoka sare
11 years ago
Mwananchi23 Jun
BRAZIL 2014: Algeria yaua, Ubelgiji yafuzu
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Arsenal hoi dhidi ya Monaco UEFA
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Arsenal na Chelsea zaambulia patupu Uefa
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Arsenal yaua, Liverpool hoi UEFA
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Arsenal, Bayern kundi moja UEFA
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Liverpool yaua , Arsenal yachapwa Uefa
10 years ago
StarTV02 Oct
UEFA, Arsenal yaua huku Liverpool ikichapwa.
Mechi za klabu bingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa kuamkia Alhamis wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani.
Vijana wa mzee Wenger, Arsenal, ulikuwa usiku wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Galatasaray ya Uturuki, huku mchezaji mpya wa timu hiyo Danny ‘Electric’ Welbeck akiondoka na mpira baada ya kuzifumania nyavu za wapinzani wao mara tatu, moja likifungwa na Allexis Sanchez.
Katika mchezo huo Arsenal walimaliza pungufu baada ya kipa wao Wojciech Szczeny kutolewa...
9 years ago
Bongo510 Dec
Arsenal yaingia 16 bora, matokeo ya mechi za UEFA Dec 9
![2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399-300x194.jpg)
Michezo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa December 9 kwa mechi nane baada ya makundi ya E, F, G na H, michezo hiyo ilichezwa wakati timu 10 kati ya 32 zikiwa zimeshajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora hivyo nafasi 6 pekee ndio zilikuwa zinawaniwa.
Klabu ya Arsenal ambayo ilikuwa nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi F, nafasi yake ya kuendelea hatua ya 16 bora ilikuwa mikononi mwake yenyewe, ilifanikiwa kuifunga Olympiakos ya Ugiriki...