Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UEFA, Arsenal yaua huku Liverpool ikichapwa.

Mechi za klabu bingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa kuamkia Alhamis wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani.

 
Vijana wa mzee Wenger, Arsenal, ulikuwa usiku wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Galatasaray ya Uturuki, huku mchezaji mpya wa timu hiyo Danny ‘Electric’ Welbeck akiondoka na mpira baada ya kuzifumania nyavu za wapinzani wao mara tatu, moja likifungwa na Allexis Sanchez.

 
Katika mchezo huo Arsenal walimaliza pungufu baada ya kipa wao Wojciech Szczeny kutolewa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaua , Arsenal yachapwa Uefa

Liverpool imeanza vizuri kwa kuifunga Ludogorets Razgrad 2 -1 huku Arsenal wakichapwa 2 - 0 Borussia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaua, Liverpool hoi UEFA

Arsenal usiku wa kuamkia Alhamis ilishinda mabao 4 - 1 dhidi ya Galatasaray huku Liverpool ikifungwa goli 1- 0 na FC Basel.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yafuzu UEFA 2014

Asernal yafuzu kucheza fainali za kombe la UEFA kwa msimu wa 17 mfululizo, yaifunga Besiktas 1-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yalazwa huku Mancity ikiponea

Louis Van Gaal alipata ushindi wake wa kwanza ugenini kama meneja wa Manchester United dhidi ya Arsenal

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yashinda huku Tottenham ikilazwa

Bao la mapema lililofungwa na mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey lilitosha kuisaidia Arsenal kupunguza mwanya uliopo kati yake na Chelsea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool kumenyana na Madrid Uefa

Liverpool ina kibarua kigumu mbele yake itakapokutana na bingwa mtetezi wa kombe la uefa Real madrid

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal na Chelsea zaambulia patupu Uefa

Kilabu za Uingereza ziliendelea kuandikisha matokeo mabaya Ligi ya Kilabu Bingwa Ulaya baada ya Arsenal na Chelsea kushindwa kwenye mechi zao Jumanne usiku.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal, Bayern kundi moja UEFA

Arsenal kwa mara ya tatu katika misimu minne, itavaana na Bayern Munich baada ya kupangwa kundi moja katika michuano ya klabu bingwa Ulaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal hoi dhidi ya Monaco UEFA

Matumaini ya Arsenal kusonga mbele katika hatua ya robo fainali ya michuano Klabu Bingwa Ulaya imeingia nyongo baada ya kubali kipigo kutoka kwa Monaco ya Ufaransa cha 3 - 1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani