Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal yaua, Liverpool hoi UEFA

Arsenal usiku wa kuamkia Alhamis ilishinda mabao 4 - 1 dhidi ya Galatasaray huku Liverpool ikifungwa goli 1- 0 na FC Basel.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaua , Arsenal yachapwa Uefa

Liverpool imeanza vizuri kwa kuifunga Ludogorets Razgrad 2 -1 huku Arsenal wakichapwa 2 - 0 Borussia.

 

10 years ago

StarTV

UEFA, Arsenal yaua huku Liverpool ikichapwa.

Mechi za klabu bingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa kuamkia Alhamis wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani.

 
Vijana wa mzee Wenger, Arsenal, ulikuwa usiku wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Galatasaray ya Uturuki, huku mchezaji mpya wa timu hiyo Danny ‘Electric’ Welbeck akiondoka na mpira baada ya kuzifumania nyavu za wapinzani wao mara tatu, moja likifungwa na Allexis Sanchez.

 
Katika mchezo huo Arsenal walimaliza pungufu baada ya kipa wao Wojciech Szczeny kutolewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal hoi dhidi ya Monaco UEFA

Matumaini ya Arsenal kusonga mbele katika hatua ya robo fainali ya michuano Klabu Bingwa Ulaya imeingia nyongo baada ya kubali kipigo kutoka kwa Monaco ya Ufaransa cha 3 - 1.

 

11 years ago

GPL

LIVERPOOL HOI KWA ARSENAL

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya 16. Lukas Podolski akiifungia Arsenal bao la pili katika dakika ya 47 ya mchezo.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Bayern yashinda,Barcelona hoi UEFA

Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto

 

11 years ago

GPL

ARSENAL HOI KWA BAYERN

Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio. Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny…

 

10 years ago

GPL

LIVERPOOL HOI YASHIKWA NA EVERTON

Wachezaji wa Everton wakishangilia baada ya Phil Jagielka (kulia) kufunga dakika ya 90 dhidi ya Liverpool.…

 

10 years ago

GPL

ARSENAL HOI KWA WEST HAM

Mauro Zarate (katikati) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia West Ham bao la pili katika dakika ya 57. Mashabiki wa West Ham wakishangilia ushindi dhidi ya Arsenal leo. Patashika langoni mwa West Ham.…

 

11 years ago

GPL

LIVERPOOL HOI KWA CHELSEA, YALALA 2-0

Demba Ba akiifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 ya mchezo. Chelsea wakishangila bao lao la kwanza. Liverpool hoi baada ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani