Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARSENAL WAFUNGWA NA SWANSEA BAO 2- 1

Mchezaji wa timu ya Swansea Bafetimbi Gomis (katikati) akipiga mpira kwa kichwa. Kipa wa timu ya Arsenal, David Ospina akijaribu kuzuia mpira uliopigwa na Bafetimbi Gomis dakika ya 86 na kuvuka mstari. Refa Kevin Friend…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yachapwa na Swansea 2 -1

Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yalazwa na Swansea

Arsenal ilikosa fursa ya kuwa sawa kwa pointi na Manchester City katika nafasi ya pili katika ligi ya Uingereza baada ya Swansea kupata ushindi wa dakika za lala salama

 

11 years ago

BBC

Arsenal 2-2 Swansea City

Mathieu Flamini's calamitous own goal denies Arsenal a win over Swansea as the Gunners' miserable week continues.

 

9 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA DHIDI YA ARSENAL BAO 2- 0

Mchezaji wa Chelsea, Kurt Zouma akifunga bao la kwanza dakika ya 53 kipindi cha kwanza dhidi ya Arsenal katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal. ...Wachezaji wa Chelsea…

 

10 years ago

GPL

ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.…

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mlinda mlango wa Hull City, Steve Harper akiwa hana la kufanya zaidi ya kuuangalia mpira ukijaa wavuni.Ikicheza ugenini katika uwanja wa KC, washika bunduki hao wa jiji la London walionyesha kandanda la hali ya juu na kuonyesha ubora wao wa kumiliki mpira hadi mwisho wa mchezo wao.
Mabao mawili toka kwa mshambuliaji wake mwenye kasi Alexis Sanchez...

 

10 years ago

BBC

Chelsea 2-2 Swansea City

Ghana's Andre Ayew scores on his Premier League debut for Swansea City as they hold 10-man Chelsea to a 2-2 draw.

 

11 years ago

Mwananchi

Swansea yamtimua Laudrup

Klabu ya Swansea imemtimua kocha wao, Michael Laudrup na kuamua kumkabidhi timu nahodha wa klabu hiyo, Garry Monk aiongoze katika mechi ya Jumamosi dhidi ya Cardiff.

 

11 years ago

BBC

Everton 3-1 Swansea City

Ivorian Lacina Traore scores on his debut as a Steven Naismith-inspired Everton sink Swansea in their last-16 FA Cup tie.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani