Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal washindwa kusonga Ulaya

Pamoja na mabao 2-0 wakiwa ugenini katika mchezo uliopigwa usiku wa kuamkia leo, Arsenal washindwa kusonga mbele

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea washindwa kutamba Ulaya

Chelsea walitoka sare tasa mechi yao ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya ugenini dhidi ya Dynamo Kiev iliyochezwa Jumanne usiku.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal wafuzu hatua ya muondoano Ulaya

Olivier Giroud alifungia Arsenal mabao matatu kwa mara yake ya kwanza na kuhakikisha Gunners wanaendeleza rekodi yao nzuri Ulaya kufika hatua ya 16 bora kwa kulaza Olympiakos.

 

10 years ago

Mwananchi

Real, Liverpool, Arsenal vitani Ulaya

Real Madrid imeweka rekodi ya kutwaa taji hilo mara 10 Manchester, England. LReal Madrid ilikata kiu ya kusubiri ubingwa wa soka wa Ulaya kwa miaka 12 ilipotwaa taji hilo kwa mara ya kumi (la Decima) msimu uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Arsenal, City zasubiri muujiza Ulaya

Barcelona na Bayern Munich wana kazi ya kulinda ushindi wao wa mabao 2-0 waliopata kwenye mechi za kwanza za hatua ya 16 bora leo na kesho wakiwa kwenye viwanja vyao vya nyumbani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal wapewa Barca ligi ya mabingwa Ulaya

Arsenal ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Uhispania kwenye hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Man City kwa Barca, Arsenal kwa Bayern hapatoshi Ulaya

Manchester City watakuwa na kibarua kizito mbele ya Barcelona katika  mechi za mtoano hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.

 

10 years ago

GPL

ARSENAL 'OUT' LIGI YA MABINGWA ULAYA

Arsene Wenger na benchi lake wakiwa hawaamini kilichotokea mbali na ushindi wao wa 2-0. KIKOSI cha Arsenal kimetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya ushindi wake wa mabao 2-0 iliyoupata ugenini dhidi ya Monaco ya Ufaransa usiku huu.Timu hiyo imeondolewa kwa bao la ugenini licha na matokeo ya jumla kuwa 3-3. Baadhi ya wachezaji na viongozi wa Monaco wakishangilia baada ya filimbi ya mwisho. Katika mchezo wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uholanzi kusonga mbele ,Brazil

Uholanzi yafuzu kwa mkondo wa pili wa kombe la dunia baada ya kuibana Australia 3-2

 

10 years ago

BBCSwahili

Monaco hawakustahili kusonga mbele

Arsene Wenger anaamini timu ya Monaco haikustahili kusonga mbele kwenye ligi ya mabigwa ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani