Arsenal yamlenga mjerumani Kramer
Arsenal wako tayari kutoa pauni milion 20 kumsajili kiungo wa timu ya taifa ya ujerumani Christoph Kramer, 23, anayechezea timu ya Borussia Monchengladbach
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Arsenal yamlenga Carvalho na Sissoko
11 years ago
BBCSwahili20 Aug
Israel yamlenga kiongozi wa Hamas
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Mjerumani aziita Simba, Yanga
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Toto African yamsaka kocha Mjerumani
KLABU ya Toto African ya Mwanza inatarajia kumpata kocha mpya kutoka Ujerumani Agosti 2, mwaka huu ambae atakinoa kikosi hicho kwa ajili ya ligi kuu msimu ujao.
Timu ya Toto African iliyopata daraja msimu uliopita kwa sasa inaendelea na mazoezi ikiwa chini ya kocha John Tegete aliyekipandisha kikosi hicho.
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa klabu hiyo Ahmed Waziri Gau alisema kocha huyo atakapowasili mara moja ataanza kuiandaa timu yao.
Gau alisema...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mjerumani kuchukua mikoba ya Kim Stars
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajia kumwajiri kocha mpya, Michael Krüger, raia wa Ujerumani, kurithi nafasi ya kocha mkuu wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mdenish Kim Poulsen,...
11 years ago
Habarileo24 Mar
Mjerumani aliyenasa Mlima Kilimanjaro aokolewa
KIKOSI cha Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii kutoka Ujerumani, Jeanne Traska (32) na mwongoza wageni, Athuman Juma waliokuwa wamekwama kwenye kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro.
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Mjerumani aipa tano Simba, aishangaa Yanga
5 years ago
Michuzi
MWAKINYO KUWANIA UBINGWA WA WBO SUPER WELTER WEIGHT DHIDI YA MJERUMANI

Pambano hilo litakalopigwa nchini Ujerumani litafanyika Machi 21 mwaka huu.
Mwakinyo (24) ambaye katika uzito wa Super Welter anashika nafasi ya kwanza kwa ubora barani Afrika na namba 20 Duniani , atakuwa ni bondia wa kwanza Mtanzania kugombea mkanda huo ambao ni wa pili kwa ukubwa baada ya ule...