ARU yazawadia wanafunzi 130
CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kimewazawadia wanafuzi 130 wa masomo mbalimbali zawadi zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 60 kutokana na ufaulu mzuri katika masomo yao. Zawadi hizo ni fedha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
10 years ago
Habarileo05 Dec
Wanafunzi 130 Chuo Kikuu Ardhi wapewa tuzo
CHUO Kikuu cha Ardhi kimewazawadia wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika fani mbalimbali, wamezawadiwa vyeti na zawadi kutoka kwa wadhamini ili kukuza elimu na kuongeza ushindani baina ya wanafunzi.
10 years ago
AllAfrica.Com05 Dec
From Humble Start, ARU Is Centre of Excellence
From Humble Start, ARU Is Centre of Excellence
AllAfrica.com
SINCE independence from Britain in 1961, founder president Mwalimu Julius Kambarage Nyerere had taught Tanzanians that education is a veritable tool of development and a driver of personal, national, and global progress. Nyerere's philosophy centred ...
11 years ago
Daily News06 Apr
ARU female students excel in architecture courses
ARU female students excel in architecture courses
Daily News
UNLIKE their male counterparts, female students have been excelling in architecture courses and their enrolments have also increased at Ardhi University (ARU). Acting Dean at ARU School of Architecture and Design, Dr Cyriaws Lwamayanga, said in Dar ...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
NBC yazawadia washindi wa ‘weka upewe’
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya droo yake ya pili ya promosheni ya ‘weka upewe’ huku wakigawa zawadi kwa washindi wa kwanza wa droo hiyo. Droo hiyo iliyofanyika katika...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Airtel yazawadia washindi Sh130 mil
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
11 years ago
GPLTIGO YAZAWADIA MILIONI 830/- KWA WATEJA 2,335
10 years ago
Dewji Blog01 May
ACACIA yazawadia wafanyakazi wake 510 wa mgodi wa Bulyanhulu