Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arusha, HYAC zang’ara Bagamoyo Marathon

WANARIADHA Ismail Juma na Jackline Sakilu wametwaa taji la mbio za kihistoria za Bagamayo Half Marathon 2014 zilizofanyika mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Juma kutoka Arusha alishinda kwa wanaume kilomita...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

HYAC kushiriki Bagamoyo Historical Marathon

KLABU ya Holili Youth Athletics (HYAC), ya mkoani Kilimanjaro inatarajiwa kupeleka nyota wake katika mbio za Bagamoyo Historical Marathon 2014 zinazotarajiwa kurindima mjini Bagamoyo, Pwani Jumapili. Kwa mujibu wa taarifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya,Ethiopia zang'ara London marathon

Eliud Kipchoge mwanariadha kutoka Kenya ameibuka kuwa bingwa wa mbio za London Marathon mwaka huu muda mchache uliopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Simba zang’ara

Wakati mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Simba wameendeleza furaha ya mashabiki wao kwa kuilaza Ndanda ya Mtwara mabao 2-0, huku watani zao, Yanga wakibaniwa na Ruvu Shooting kwa sare tasa ya 0-0 na Azam kukaa kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Timu za ukanda wa Cecafa zang’ara

Yanga imeweka rekodi ya kufunga mabao saba na kuziongoza klabu za Ukanda wa Afrika Mashariki kuanza kwa kishindo michuano ya Ligi ya Mabingwa  na Kombe la Shirikisho Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England

 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo

Mkurugenzi wa kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman (kulia) akihutubia wakati uzinduzi wa mashindano ya Mbio Ndefu ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yanatarajiwa kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu mjini Bagamoyo Mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Bagamoyo, Pwani leo. Wengine kutoka kushoto ni, Kaimu Ofisa Michezo Wlaya ya Bagamoyo, Hamisi Kimenya, Mwenyekiti wa Riadha Tanzania Mkoa wa Pwani, Joseph Luhende na Mkurugenzi Msaidizi Ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Hudumaza Afya kutoka Wizara ya...

 

10 years ago

GPL

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON LAFANA WILAYANI BAGAMOYO

Washiriki wa mbio wakiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbaruku ya Bagamoyo wakisubiri kupewa zawadi. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Dk. Shukuru Kawambwa akiwa na baadhi ya washiriki wa michezo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon

Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).

 

10 years ago

Michuzi

NSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo zimefanyika kwa mwaka wa 13 mfululizo. 
 NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao.Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani