Arusha kuandamana leo
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo, (CHADEMA), mkoani hapa, Amani Golugwa, amesema kuwa watafanya maandamano ya amani leo wakiwa wamefunga vitambaa vyeupe mkononi. Aidha, amelitaka Jeshi la Polisi kufahamu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKUU WA MKOA ARUSHA AZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI, KITAIFA JIJINI ARUSHA LEO.
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Wanayanga kuandamana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Tamada kuandamana
WAFANYABIASHARA Ndogondogo Dar es Salaam wanatarajia kufanya maandamano ya amani mwezi ujao kupinga hatua ya serikali kuwafukuza kwenye maeneo yao ya kufanyia biashara. Mwenyekiti wa Taasisi ya Jumuiya za Wafanyabiashara...
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO KUANDAMANA
WACHIMBAJI wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanatarajia kuandamana hadi kwa mkuu wa mkoa huo, wakipinga kusimamishwa kazi migodi yao 19 inayopakana na TanzaniteOne.
Wachimbaji...
11 years ago
Tanzania Daima26 Sep
BAWACHA kuandamana Ikulu
BARAZA la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA), limetangaza kufanya maandamano makubwa kwenda Ikulu siku yoyote kuanzia leo kwa lengo la kupinga ufisadi wa kutafuna fedha za wananchi unaofanywa na Bunge la...
11 years ago
Mwananchi18 Aug
Tahliso wasisitiza kuandamana
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Sarumagaoni wajiandaa kuandamana
11 years ago
Habarileo10 Dec
Walimu wanaoipinga CWT kuandamana
KAMATI ya Kitaifa ya wanachama wa chama cha walimu ya kudai mabadiliko ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), ina mpango wa kuandamana na kutoa tamko zito, kuhusiana na mwenendo uliopo kwa viongozi wa CWT.
11 years ago
Habarileo28 Jan
Chadema kurusha helikopta 10, kuandamana
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), John Heche, amesema chama hicho kinatarajia kurusha angani chopa 10 na kufanya maandamano nchi nzima kuishinikiza Serikali kufanya marekebisho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura kabla ya zoezi la kura ya maoni ya Katiba mpya kuanza.