Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asasi zataka soko la tembo lifungwe

ZAIDI ya asasi 70 zinazojihusisha na mazingira nchini (MANET), zimeiomba serikali kushauri Jumuiya za Kimataifa zifunge soko la meno ya tembo ili majangili wakose soko la bidhaa hiyo na kuachana na ujangili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Asasi zataka Bunge livunjwe

IMEELEZWA kuwa hakuna sababu ya kuendelea na Bunge Maalumu la Katiba, kama rasimu ya pili iliyopelekwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba inadhihakiwa na kudharauliwa....

 

11 years ago

BBCSwahili

Asasi za DRC zataka el Bashir ashikwe.

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu DRC, yanaitaka seikali yao rais wa Sudan, Omar el Bashir aliyeko Kinshasa

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIMATAIFA WILDAID, AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION WAZINDU KAMPENI YA KUPAMBA NA NA UJADILI WA TEMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangilli wa Tembo uliofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam Juni 18, 2015. Picha zote na CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.Balozi wa Mpya wa Kampeni ya Kupambana na Ujangili wa Tembo, Msanii wa mziki wa kizazi kipya Ali kiba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangilli wa Tembo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

10 years ago

Habarileo

Azaki zataka maandalizi Malengo mapya ya Milenia

Mwenyekiti wa SAHRINGON, Martina Kabisama ASASI za kiraia nchini (AZAKI) zimeiomba serikali kuongeza juhudi katika kuelimisha wananchi juu ya Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’S), yanayotarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2030.

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni 3 zataka jengo la ATCL lipigwe mnada

Jengo la ATCLKAMPUNI tatu zimewasilisha ombi la kupigwa mnada kwa jengo la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kufidia deni la dola za Marekani 1,182,595 ambazo zinadai shirika hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

NGO DRC zataka MUNUSCO isijiondoe Congo

Mashirika mbali mbali ya kiraia nchini DRC yameomba majeshi ya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani nchini humo MUNUSCO kufikiria upya mpango wake kujiondoa kupambana na kundi la waasi la FDLR.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN, Serikali zataka vijana kuongoza katika kukabili mabadiliko tabia nchi Singida

IMG_4985

Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Chigulu Charles akitoa neno la ukaribisho kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone katika ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani Singida.

Na Modewjiblog team, Singida

MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Mipango ya Maendeleola umoja huo (UNDP)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani