Asiyekubali kushindwa siyo mshindana
Ni kawaida kabisa kwa wanamichezo kupeana hongera wenzake wanapompiku. Utawaona wanariadha wakikumbatiana baada ya michuano; aliyeshindwa huitosa aibu mbali na kumpa heko mpinzani. Mabondia hali kadhalika. Huku damu zikimchuruzika, macho, midomo na taya vimevimbiana, lakini bado aliyenyukwa atampongeza adui yake. Hata kama awali walitukanana na kurushiana maneno ya matope. Yatakwisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
![Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Tab-Obago-169x300.jpg)
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
JK ahisi kushindwa
RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha wasiwasi kuwa kuna uwezekano wa kushindwa kukamilisha miradi ambayo aliiasisi wakati wa kipindi chake cha kuomba kura wakati anagombea urais. Kikwete, alisema kuwa haiwezekani kukamilika kwa...
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Waeleza sababu za kushindwa KKK
KUTOJUA misingi ya Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), kumeelezwa ni moja ya sababu kubwa inayowafanya wanafunzi wengi kushindwa masomo yao.
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Mjasiriamali anayepingana na kushindwa maishani
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Mourinho asema hajazoea kushindwa
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Kocha:Tumejifunza licha ya kushindwa
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Uchunguzi Kenya baada ya kushindwa