Askofu ataka Katiba kusambazwa kwa wingi
ASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, ameishauri Serikali kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi ili kutoa fursa kwao kuisoma na kuielewa vyema na kama ikishindikana hakuna haja ya kuharakisha itumike katika uchaguzi ujao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Apr
Askofu ataka Katiba ya Zanzibar irekebishwe
ASKOFU wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Katiba Inayopendekezwa yasambazwa kwa wingi nchini
SERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Katiba inayopendekezwa yaanza kusambazwa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa kati ya nakala hizo zilizochapwa, 1,800,000 zinasambazwa Tanzania Bara na 200,000 upande wa Zanzibar.
Dk. Migiro alisema hadi kufikia juzi, jumla ya nakala 707,140 zilikuwa zimesambazwa...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Nakala za Katiba zaanza kusambazwa Mbeya
9 years ago
MichuziASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu
![](http://lh3.googleusercontent.com/-pLhe-jzjufo/Vnz6fVNIauI/AAAAAAACDOA/ePofSEGWakQ/s640/blogger-image--2110069268.jpg)
Askofu Dr Mdegela akitoa baraka
Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Askofu Nzigilwa ajenga matumaini makubwa kwa Katiba ijayo
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Nzigilwa amesema kuwa anaamini changamoto iliyojitokeza katika Rasimu ya Katiba Mpya itakuwa imerekebishwa katika rasimu ijayo na Katiba itakuwa nzuri.