Katiba inayopendekezwa yaanza kusambazwa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa kati ya nakala hizo zilizochapwa, 1,800,000 zinasambazwa Tanzania Bara na 200,000 upande wa Zanzibar.
Dk. Migiro alisema hadi kufikia juzi, jumla ya nakala 707,140 zilikuwa zimesambazwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Serikali yaanza kusambaza Katiba Inayopendekezwa
Waziri Migiro akiongea na baadhi ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Mwandishi Wetu
Serikali imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 30 Aprili mwaka huu.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro amesema leo (Jumatano, Februari 11, 2015) jijini Dar es Salaam kuwa kati ya nakala hizo zilizochapwa jijini Dar es Salaam, nakala 1,800,000...
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Serikali yaanza kugawa nakala milioni mbili Katiba inayopendekezwa
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Nakala za Katiba zaanza kusambazwa Mbeya
10 years ago
Habarileo26 Dec
Askofu ataka Katiba kusambazwa kwa wingi
ASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, ameishauri Serikali kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi ili kutoa fursa kwao kuisoma na kuielewa vyema na kama ikishindikana hakuna haja ya kuharakisha itumike katika uchaguzi ujao.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
10 years ago
GPLKATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’
10 years ago
GPLMH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
GPLBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA