Nakala za Katiba zaanza kusambazwa Mbeya
Wakati viongozi wa Kata za Mbalizi, Halmashauri ya Mbeya wakidai kupokea nakala chache za Katiba Iliyopendekezwa, uongozi wa halmashauri hiyo umesema umegawa nakala saba kwa kila kitongoji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Katiba inayopendekezwa yaanza kusambazwa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa kati ya nakala hizo zilizochapwa, 1,800,000 zinasambazwa Tanzania Bara na 200,000 upande wa Zanzibar.
Dk. Migiro alisema hadi kufikia juzi, jumla ya nakala 707,140 zilikuwa zimesambazwa...
10 years ago
Habarileo26 Dec
Askofu ataka Katiba kusambazwa kwa wingi
ASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, ameishauri Serikali kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi ili kutoa fursa kwao kuisoma na kuielewa vyema na kama ikishindikana hakuna haja ya kuharakisha itumike katika uchaguzi ujao.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QcaYMABiclk/U0Vp5elv8ZI/AAAAAAAFZh8/FUKuTS2X4cI/s72-c/unnamed+(50).jpg)
kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti
![](http://1.bp.blogspot.com/-QcaYMABiclk/U0Vp5elv8ZI/AAAAAAAFZh8/FUKuTS2X4cI/s1600/unnamed+(50).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nswXbWOCT6U/U0VojxPNmlI/AAAAAAAFZhg/4mFy2En4i0o/s1600/unnamed+(48).jpg)
10 years ago
Habarileo04 Apr
Nakala 440,000 za Katiba zasambazwa
JUMLA ya nakala 443,050 za Katiba Inayopendekezwa, zimesambazwa katika taasisi 70 za serikali.
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MAONI: Usambazaji nakala za Katiba usifanywe kisiasa
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Nakala za Katiba siyo muhimu’ kwa Watanzania
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Nakala za Katiba zinavyogeuka lulu mikoa ya Lindi, Mtwara
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Serikali yaanza kugawa nakala milioni mbili Katiba inayopendekezwa
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).
Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...