Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba Inayopendekezwa yasambazwa kwa wingi nchini

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose MigiroSERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

Michuzi

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI

Wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa Radio za jamii wamethibitisha kupokea na kuanza kurusha Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti, makala na michezo ya radio iliyoandaliwa na Kampuni ya Focus Media na COMNETA zenye maudhui ya katiba inayopendekezwa.

Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.

Baadhi ya wasimamizi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bi. Zulmira Rodrigues, akiwagawia wasimamizi wa redio za jamii katiba iliyopendekezwa iliwekwa...

 

10 years ago

GPL

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache…

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ataka Katiba kusambazwa kwa wingi

ASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la MorogoroASKOFU Telesphor Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, ameishauri Serikali kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi ili kutoa fursa kwao kuisoma na kuielewa vyema na kama ikishindikana hakuna haja ya kuharakisha itumike katika uchaguzi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba Inayopendekezwa ni faraja kwa walarushwa na mafisadi

Jana tulichapisha habari kuhusu Tanzania kushuka katika orodha ya nchi zinazofanya jitihada za kupambana na rushwa, baada ya taasisi inayochunguza masuala hayo, Transparency International (TI) kueleza kwamba imeshuka kwa nafasi nane kutoka ya 111 mwaka jana hadi ya 119 mwaka huu kati ya nchi 175 zilizolengwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za kusema hapana kwa Katiba Inayopendekezwa

Sheria ya Kura ya Maoni, Sheria namba 4 ya Mwaka 2014 inaweka masharti haya “35(3) Pale ambapo kura zilizopigwa za “NDIYO” ya swali la kura ya maoni hazijazidi asilimia 50 ya jumla ya kura halali zote zilizopigwa Tanzania Bara au Tanzania Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

Katiba Inayopendekezwa inasubiriwa kwa hamu -Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Katiba Inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba ni bora na inasubiriwa kwa shauku kubwa na wananchi ili waipigie kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani